donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,522
Salaam wakuu,
Kwa wale ambao wangependa kujivunia visenti kidogo kwa kusikiliza mziki tu kwa simu zao basi narecommend hii app inaitwa current. Kila unaposikiliza music radio station kwenye app Yao basi Una pata points ambazo unazikusanya zikifikia kiasi flani unalipwa hela yako (ni through PayPal only). Mi ndio nimeanza mdogo mdogo, it's kinda funny though...
View attachment 1623240