Labda kakupendea chakula unachopika.., hivyo basi usianze kuwa mtu wa take aways na kumuachia house girl kupika (in essence point yangu ni kwamba be whom you are and do what you do to the fullest) akikupenda atakupenda wewe na sio someone you pretend to be.kanipendea kula, acha nikule mie biriani.
sababu amekupenda basi amependa wewe ulivyo endelea kuwa hivyo hivyo, usibadilike just be yourself (from what I can see ni mtu mmoja charming na mcheshi sana). Usiache ucheshi wala usikubali mtu akubadilishe na kutokuwa mtu wa furaha.Mi sijui kanipendea nini nikiendeleze. Ngoja nimuulize
Labda kakupendea chakula unachopika.., hivyo basi usianze kuwa mtu wa take aways na kumuachia house girl kupika (in essence point yangu ni kwamba be whom you are and do what you do to the fullest) akikupenda atakupenda wewe na sio someone you pretend to be.
probably unachodhani amekupendea sicho.., kama hivyo ndivyo the only good quality am afraid labda amekupenda physical appearance.., the only problem wa kupendewa physical appearance mara nyingi it never lasts kama ambavyo usiku wa mbalamwezi huwa haudumu.Ohh, yeah!
Nakula ugali unga kg 1 peke angu.
sababu amekupenda basi amependa wewe ulivyo endelea kuwa hivyo hivyo, usibadilike just be yourself (from what I can see ni mtu mmoja charming na mcheshi sana). Usiache ucheshi wala usikubali mtu akubadilishe na kutokuwa mtu wa furaha.
Ndio hapo yanakuja ya "siku hizi Husninyo kabadilika kweli..."
Kuliko akubadilishe wewe ni bora kuachana nae, tuseme mfano wewe strong qualities zako ni mcheshi, mchangamfu na unapenda kujumuika na watu.., (na huyu bwana akakupenda wewe...) sasa je huoni utakuwa hujitendei haki wewe wala yeye kama kwa mateso yake akikufanya ukawa mtu wa huzuni, majonzi na wivu wake akakufanya hata usiongee na watu wengine..?ooh! Inawezekana kanipendea hilo eeh! Tatizo sun mabadiliko ya mtu hayaji ghafla. Naweza nikapendwa ndio kwa sababu fulani ila jamaa akibadilika inaweza ikanifanya na mi nibadilike.
Ohh, yeah!
Nakula ugali unga kg 1 peke angu.
Kuliko akubadilishe wewe ni bora kuachana nae, tuseme mfano wewe strong qualities zako ni mcheshi, mchangamfu na unapenda kujumuika na watu.., (na huyu bwana akakupenda wewe...) sasa je huoni utakuwa hujitendei haki wewe wala yeye kama kwa mateso yake akikufanya ukawa mtu wa huzuni, majonzi na wivu wake akakufanya hata usiongee na watu wengine..?
Wewe ni kama ua moja zuri sana.., kama anayekuchukua hawezi kukuangalia na anakuzibia uzipate mwanga wa jua wala kupata maji, huoni kwamba huyo ni enemy within.. ( na mwisho wa siku akuharibii maisha yako wewe tu, bali na yeye)
Utamtia mwenzio hasara wewe. . . .
Kama anakupenda hawezi kutaka ufanye kile ambacho wewe ndicho kinakupa raha (sisemi kucheka cheka, labda aanze kukuzuia kuongea na marafiki zako wa zamani jambo ambalo wewe ndio lilikuwa linakufanya unapass time na kufurahia kuwepo kwako duniani). Ofcourse kama wewe unampenda utajitahidi kubadilika ili kumfurahisha ila mara nyingi unaweza ukawa dissapointed na kumchukia kwanini alikufanya uache kitu fulani.haijaniingia akilini, kama ananipenda na mimi ninampenda kwanini nisibadilike ili nililinde penzi langu? Kuna ulazima gani wa kucheka na watu wakati penzi linataka kufa kwa jambo ambalo waweza fanya.?
kwahio kapenda boga na sio ua (ua ni excess baggage ambazo hana budi kuzibeba) lakini mpe lile boga na sio umyime boga na kumlazimisha kuishi na ua.
True lakini huyo mpenzi is he worth it ambae anakufanya ufanye jambo usilolipenda, ofcourse vitu vidogo vidogo ambavyo hata wewe unajua vinaubaya (kama pombe, uzururaji, n.k.) sawa unaweza kuacha.., ila sio kitu ambacho kinakujenga wewe, yaani kinakutofautisha wewe na wengine, kitu ambacho unacho na unafanya tangu utotoni, au kitu ambacho ni ndoto yako kufanya..., kitu ambacho hata wewe alikukuta nacho na huenda ndicho kilipelekea akakupenda.@sun wu, tukijikumbushia POL, naweza kuacha hata kuongea na rafiki zangu iwapo mpenzi pekee anatosha kunifanya niwe na furaha...
Hopefully we are talking about the same boga.. 🙂ana access na boga hata kama nimesinzia lol