Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,018
Katika jamii za Kibantu tumelelewakatika maisha ya utandi uliyosaidia kuleta udugu na utengamano na umoja wataifa hili na kuondoa ukabila! Nachotaka kusema watani zangu Wangonina Wamatengo ukiwapapesa wanafikisha, ila ukimpatia mwanamke imekula kwako! tatizo lingineWamatengo wanatofauti na wamatengo, ila hata wamatengo nao wanajifanya Wangonihapo wananiacha hio! Wana JF hebu tuambie kabila la watani zako wanasifagani maarufu?
Kuna vandu vakutilonda sana mu-JF. Vana raha leta, bila kutijovajova mitima javi jiyii ngati jilonda kuhwa nahaaa... Tivaleka vajova sana na vajova ni kwa waka te titama tu nuhuumugendili gendili hapa muhikili
Ena,wamanyi yika!!
Nyie ndo wale ambao wakiwa hai, hawaendi kwao lakini masherti kibao eti nikifa mkanizike kwetu...Sasa hapo umeniacha mbaliiii...me mngoni wa daslaaam....born here here
Kuna vandu vakutilonda sana mu-JF. Vana raha leta, bila kutijovajova mitima javi jiyii ngati jilonda kuhwa nahaaa... Tivaleka vajova sana na vajova ni kwa waka te titama tu nuhuu
Sasa hapo umeniacha mbaliiii...me mngoni wa daslaaam....born here here
Nyie ndo wale ambao wakiwa hai, hawaendi kwao lakini masherti kibao eti nikifa mkanizike kwetu...
uhambayi kukaya wenga hina hata kusalimila umanya lepa!! Hina ve va mngoni kweli!
proudly NGONI hakuna raha km kuzaliwa mngoni.
Aah wapi mdingi wangu tu akifa anazikwa kinondoni walipozikwa wazazi wake ndo sembuse mie.....ila am proud to be ngoni....huwa sifichi kabila langu km wazaramo na makonde ht km sijui kingoni....
Taratibu babaa tehe tehe
Ni Wakatoliki wazuri lakini kwa visasi na ushirikina ni mwisho
Usituletee za kuleta hapa, na hao wanawake ambao unadai huwa hawafiki salama wanakuwa wa kabila gani...??? Ndola kumihu ko, keta mene...
Kwa Viuno hao Hawajambo! Nawakubali Sana Wangoni na Nina Bahati Nao Kweli ila tu Akikukpenda Usimsaliti Kwani Visasi Vyao VINAUMA KWELI! Ni Wataalam pia Wa Kulia Kimahaba na Wanachangamsha Mno Kitandani.
Hivi wangoni ndio hawa palipali kwa mfaranyaki nyumbi hii bumbii hii? Kama ndio hao jamaa wanapenda walipotokea sana!!
Haaaaa...ndio kina sie born town...tunajua kusema sengwile..
same to me mdau,sipajui songea na my dady hakua akipajua bt kabila langu huwa nawambia watu