Wangoni na wamatengo waogopeni

Haha niyofwini
 
Heee...kweli dini wanapenda sana...na kuimba nyimbo za misiba kuna jirani yangu hapa binti ya kingoni..anatishwa kwa uongo mpaka uwa najiuliza hivi huyu binti mngoni kweli. Mpka nikawa naogopa kusema me mngoni..


Tatizo wanaongea sn.
 
Vangoni vajovelahi kuhongana, kazi yingi viweza lepa. Kilu kilu kuhongana , vandu vihongana jamani kusongea, hadi lukela ukapita mumagesti huyuwana sauti ya mdala ijova homola uti nikatundi makocho.
Wee jamaaa....

Hebu kuwa na staha kidogo kwa hawa Dada zetu wa Kingoni...
 
Wamatengo wakivuka mkoa wanakuwa wangoni...niliwahi fanya kazi na mtu mmoja mkoa fulani kutwa kujisifia yeye mtoto wa kingoni kumbe ni mmatengo..nao wako kama watu wa Musoma wengi wao hawapendi kujulikana ni wa huko wanaficha hata wao kwa wao hawataki kujulikana wala kwa watu wengine ..ukimkuta kazini wengi wao yuko hiari ampe mtu mwingine fursa lakini sio ww wa kabila lake(bora kidooogo wakurya)ila hao wengine sijui wakurya wakwaya na jamii zao wanaroho mbay mno bora hata hao wamatengo /wanyasa wanaojiita Wangoni ptuuuuu...wanajiskia mno maringo na majivuno usiseme..cha ajabu wengi wamesoma na wananyadhifa nzuri mno ila ile spirit ya kusadia hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…