Kwa kuwa hatuna ving'amuzi basi kumpyuta zimekataa kuonyesha picha, sijui mods au waanzisha uzi, nao wakaamua kukata.
Sasa basi tuendelee kuchangia huku tukiamini picha tunaziona. Yani pandisha mzuka mpaka uzione kama hauzioni. Mwenzenu naziona. Ziko mbili.