Wangapi wapo single humu?

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,756
Usiogope mimi nipo njia panda ila kama wewe upo single na una wish kuwa na kitu amazing tuambie Vijana na wasichana.
Huu ndio muda wakushuka shukeni.
Mtu ashuke tu mimi nipo single na ningependa kuwa na demu wa aina hii.
Au na mfeel mtu huyu.
Tiririkeni .
 
Dah...
Mimi huwa nakuwa single wa dharura panapotokea uhitaji.
Mtoto mzuri akitokea anahitaji msaada kwenye tuta, huwa nakuwa single for the next three months.

Then narudi hali yangu ya kuwa coupled.

Watoto wazuri ninaowapendaga ni:
1)Wanaojua kudeka deka, mpaka najikuta nahonga bila kupenda.
2)Wenye matege ya mikono.
3)Wenye mwanya meno ya chini.
4)Mengine huwa navumulia tu.
 
Msisifie kuweni wa ukweli mimi ningekuwa siko njia panda ninge kuwa ga na hawa couze ni wengi wananivutia .
D M A A ndio hao
 
Tayri nimeshapata chombo yna2 anafiti kila upande hivyo huu uzi haunifai aseee kwaherini
 
siku zote navyosema niko singo humu hua hunioni au dharau tu.. narudia tena am single sasa huu ndio muda wenye kuunganisha mbawa tupae pamoja
de nada mi companero hermoso katoto kazur..
 
siku zote navyosema niko singo humu hua hunioni au dharau tu.. narudia tena am single sasa huu ndio muda wenye kuunganisha mbawa tupae pamoja
de nada mi companero hermoso katoto kazur..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ haya bhana
 
Ila from now onwards nipo njia panda

kila siku unaachika wewe tu.....any way...napenda wa dizaini hii;
1.Chura ya wastani, kashuzi ka kiushkaji lakini kana shake chenyewe hasa akivaa kanga
2.Mrefu kama mimi au nimzidi kidogo
3. Dimples
4.Kidoti( added advantage)
5.Rangi ya kunde/nyoka/siyo mweupe sana
6.Mwili wa wastani siyo bonge
7.Mwanya wa juu

Mwenye sifa hizi lazima nimpe nafasi ya kunifilisi, karibu sana
 
Da Vinci
Nipo njia panda ndugu sijui nifanyaje mpendwa sijui nipo njia panda .
Kwa sasa naweza ringa nikaumbuka naweza nisiringe nikaumbuka vile vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…