Hivi wakati mengi anamchukua na kufunga naye kinachosadikika ni ndoa nje ya nchi...Je!! ile ndoa ya awali aliyokuwa amafunga kwa taratibu za kikristu ambayo ni ndoa ya mke mmoja na mme mmoja isiyotenguliwa hadi kifo, je ndoa hiyo ilitenguliwa na nani wkati mke halali wa mengi alikuwa bado hai?