Wangapi wanawajua wanamziki "MAKOMA"?!

Wangapi wanawajua wanamziki "MAKOMA"?!

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,204
Reaction score
17,560
Leo ktk pita pita zangu WhatsApp status video nikamwona cousin wangu kaweka wimbo huu wa wanamziki wa Gospel wanaitwa "Makoma"

Doh ulinikosha sana naupendaje alafu hauchuji unaitwa Butu na Moyi

Wangapi wanaujua huu wimbo?!

Kama unaujua wewe ni muhenga unatakiwa uwe umeshawowa /olewa na una watoto



Cc:
Honey 50thebe huu wimbo ulikuwa ushazaliwa au ulikuwa kwa tumbo ya mamayako?!
 
From DRC Congo. Hao ni watoto wa familia 1.FAMILLE MAKOMA, Ila kwasasa walisha vunja Ilo kundi lao kutokana na majukum mbali mbali hasa majukum yakifamilia
Doh
Spokes man wa familia buana
Enhe wanarudi lini? !
 
Back
Top Bottom