Wangapi wanamkumbuka huyu nyota wa Bongo?

Kwa kweli hili swala la dawa za kulevya lisikie kwa jirani..........mimi nikiambiwa nimchinje muuza unga.......namchinja saa hiyo hiyo..........limetuletea balaa kubwa sana kwenye familia yetu...........

pole sana dada! Hili suala la UNGA liko kwenye top management, wanajua in and out!

Nani anauza, nani anaingiza, serikali inajua wazi wazi!!

Tatizo linakuja kwamba, wao kama wao familia zao hazijaathirika na madawa!

Vile vile hawa hawa wana share na wauzaji, so kuwakamata inakuwa ni vigumu!
 

Ipo siku tu.......sina hamu kwa kweli.......
 
nifah uko too young

Kule kwenye jukwaa letu la mpira ukiniona uniamkie kuanzia leo etiiiiii

au ndo msemo mtoto wako wa mwenzio mkubwa mwenzio unatumikaga hapa?

Jamaniiiii! Mimi hua sipendi kusema haya mambo basi tu hua nateleza! Balaa lake ndio hili sasa....
Haya mkuu kashengo chukua heshima yako kiroho safi.

Huo usemi unabaki huko mitaani lakini hapa JF sote tuko sawa bwana!
 
Last edited by a moderator:
Jamaniiiii! Mimi hua sipendi kusema haya mambo basi tu hua nateleza! Balaa lake ndio hili sasa....
Haya mkuu kashengo chukua heshima yako kiroho safi.

Huo usemi unabaki huko mitaani lakini hapa JF sote tuko sawa bwana!

Heshima nimeipokea
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa namuona ona Sinza huyu jamaa
 
Hii Co Ngwengwe Hii..??!
Mkuu ingekuwa ngwengwe tungekuwa tumeshapata habari japo za ju kwa ju!
Masela wake wanasema mshkaji anakula sana ngada! Unga umemharibu kijana wetuu!!
Ni aibu sana kwa taifa kuruhusu vipaji adimu kama hivi kupotea potea tu kama upepo wa kiangazi..
Dah!..... Ila si wanajuana wanao sambaza????
 
So sad.

Unga usikie kwa wengine aisee.
I have missed you!
Huonekani siku hizi!
Btw, huyu jamaa akipata support kama aliyopewa Ray C, itakuwa jambo la mbolea sana!
Misongo ya mawazo na kukata tamaa kirahisi rahisi inatumaliza sana vijana....
 
mshkaji class mate wangu makongo enzi hizo alikua anajua sana somo la history kila siku anapata A so sad sembe imemmaliza da unga pale mwenge unauzwa kama pipi dukani na polisi wanajua wanakuja kuchukua chao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…