Wangapi wanamiliki gari Zero kilometres

Linaingizwa kwenye meli kabla halijanunuliwa?
 
U

Unamiliki kitu kikiwa mkononi
Ukilipa Kodi ya gari baada ya kumalizana na supplier huwa unalipa Kwa jina la mmiliki yupi iwapo si wewe mmiliki?
 
Lakini yananunuliwa na 0km
We uliandika hakuna mtu duniani amewahi kumiliki na 0km. Sasa kama mnunuaji na anaponunulia havihitaji meli wala bandari.

Anyway
Kwanza uzi unahusu 0km ya mwanamke.
Bye
Kuna mzee Arusha General Mike , Huwa ananunua gari linawekwa kwenye trailer kuanzia linapoanzia huko UK huwa naagiza landrovers tu mpka lina fika kwake Arusha usariver
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…