Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,453
- 2,205
Me nmekopa kwa Jamaa yangu lakn duu kulipa imekua shida nimehama njia kabisaa lakin naumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
. Jamaa akawa hana namna ya kujitetea mana alikua na 20k nyingine kwa walletKwa kweli tusiwapoteze tunaowapenda kwa kuwakopesha tehMie nilishaacha kabisa kukopesha marafiki, kama sina ya kukupa jumla, basi ya kukopa ndo haipo kabisaa. Siwezi tena kuendelea kukosa marafiki kisa deni, nilio nao nawapenda sana, siwezi kuhimili.kuwakosa, teh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiwoooooo
Hakuna kitu naogopa kama deni, yaani siwi na amani kabisaaa. Hata simu ikiita nahisi ni anayenidai anapiga lolHaha nimecheka kama mazuri.
Yani siku hizi ukimkopesha rafiki, jua kuna possibility kubwa 2
1. Kupoteza pesa
2. Kupoteza urafiki
Btw nawasubiri mwenzangu na mimi tunaokopa afu hatutaki kulipa





Daah deni baya
Kuna jamaa nilimkopesha hela sasa akawa ananipiga chenga.
Kuna day nilikutana nae anavuka barabara yupo kati kati hapo sasa hajui avuke au urudi na gari zinakuja nilimuonea huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app





Haha pata picha muda wa kulipwa mtu hapokei simu yako wala hajibu messages zako; ukimpigia kwa namba mpya fasta anapokea.Hakuna kitu naogopa kama deni, yaani siwi na amani kabisaaa. Hata simu ikiita nahisi ni anayenidai anapifa lil
Niliwahi mkopesha rafiki mwisho tukaishia kugombana.
Ili nisimpoteze kama rafiki ilibidi niombe msamaha mimi na nisamehe pesa na maisha yaendelee.
Uzuri ni kwamba hakuna kukopana tena sababu ya historia![]()
Bwana wee alafu wanajichekesha ili uwagegede tuu...dawa ni kumwambia pesa lazima ugegedwe hutaki tambaaHaswa mademu wa kibongo ndo zao akikopeshwa anajifanya kasahau anabaki kujichekeshachekesha tu,dawa ni kusema huna pesa.




Yaani hata hauishi kwa amani.Haha pata picha muda wa kulipwa mtu hapokei simu yako wala hajibu messages zako; ukimpigia kwa namba mpya fasta anapokea.
Au mwingine anakujibu tu easy" hela niliyokuwa naitegemea nikulipe sijapewa bado, so sina cha kufanya kwa sasa, endelea kusubiri"
Yani ukikopa bana, mtu aaweza akakupigia tu kukusalimia, Ila ukahisi anaulizia hela yake teh
Pole sanaDaaah yani niliingia mkenge nikamkopesha broo pesa ya riba 360000 na nyingine kwa mtu mwingine 150000...alafu nilikuwa sina kitu chochote ila alinipa mikakati ya biashara tushirikiane na kila mwezi anarjrsha elfu 60....kumbe mwenzangu ana ramani yake mwisho wa siku nikauza vitu mpaka vya ndani kulipa deni...alafu yeye ukimpigia simu hapokei ...na mpaka leo hajawahi lipa hata sent....na mimi na taabika kulipa deni...daaaaah sikuamin na undugu wenyewe nikatupilia ndani...(ila nilipata tetesi alitumia kiasi cha pesa kumuhonga daktari afanye Abortion...)
Sent using Jamii Forums mobile app