Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,633
- 3,534
Kutoa taarifa ni muhimu lakini tafuta details za kutosha.Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake.
Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
View attachment 2839872View attachment 2839873
Una matatizo makubwa kichwani hususani ya uelewa wako ni finyu sana.Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake.
Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
View attachment 2839872View attachment 2839873
Naomba nisikoment hapa.Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake.
Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
View attachment 2839872View attachment 2839873
Usitaarabu ilikuwa ni kujibu swali.Nyie chadema mbona narudia rudia hili swali, em rudi usome comments na sio kuvamiavamia comment za wanaume
Mkuu unauliza mawe mlimani? Huoni jina lake? Sexless maana yake ana uhanga wa kupindukia 😆😆Una kasoro gani, hapo nyumbani.
Gerson MsigwaHii kitu ni chukizo, kwa mujibu wa taarifa rasmi walio fariki hawazidi 90, hivi serikali ndio inatoa 90m tu?
Halafu goli moja lina thamani kuliko mtanzania?
Nani mshauri wa raisi?
Akili ya G Msigwa ni kiwango cha waalimu wa shule za msingiGerson Msigwa
si wameambiwa walio hai watajengewa nyumba au sikusikia vizuri?Hii kitu ni chukizo, kwa mujibu wa taarifa rasmi walio fariki hawazidi 90, hivi serikali ndio inatoa 90m tu?
Halafu goli moja lina thamani kuliko mtanzania?
Nani mshauri wa raisi?
Hakujiandaa kuwa raisRais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake.
Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
View attachment 2839872View attachment 2839873
Rambirambi siyo sehemu ya kutafutia utajiri, acheni roho za kimasikini.Marehemu wapo 80 tu ×milioni 1 = milioni 80. Lkn kwenye magoli kishatoa zaidi ya milioni 200. Huyu rais ama kituko?
Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake.
Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
View attachment 2839872View attachment 2839873
CHADEMA hata milioni 10 tu mmetoa kusaidia wahanga? Unajua kazi inayofanyika Hanang au umengalia tu hiyo mkono wa pole?
Sasa unaambiwa chadema wametoa mamilioni ya fedha ila hawajui ni sh ngapi mana zilikuwa nyingi sana hvy wakashindwa kuzihesabu wakaamua kuzibeba hvy hvy bila kuzihesabu
Erythrocyte
Hv unafatilia ht vyombo vya habari au ww nae ni mpuuzi kama mtoa mada.? Serikali imetoa zaidi ya B ila hizo zinakwenda kwenye familia moja kwa moja kwa waliofiwa
Hiyo ni rambirambi tu, ila hao wakazi wote watajengewa nyumba, tatizo sijalioma
CHADEMA hata milioni 10 tu mmetoa kusaidia wahanga? Unajua kazi inayofanyika Hanang au umengalia tu hiyo mkono wa pole?