kweli kabisa mkuuBora arudi white house maisha yaendelee huku mitaani
Wabongo kwakweli tuna shida,kaja ngangari watu wanalia,unashangaa mnalia nini wakati mlitaka rais imara ???Wengi na hasa wale waliokuwa wakimdhihaki hadharani kuwa ni 'Rais dhaifu'...
mumeona eeh! sikunyingine msipelekeshwe na akina tundu lissu, munaonaje 2020 JPM ampishe JK kiti? Nambado hadi mfumuko wa bei ufike 0%Bora arudi white house maisha yaendelee huku mitaani