Yalikuwa hayafuti vizuri matokeo yake unatoboa karatasi ukienda nyumbani Mama amekuguard mlangoni na bakola kabla hujaingia ndani unakabidhi mfuko wa daftari kwake ole wako uwe umetoboa karatasi utaisoma namba kwa kigiriki