Wangapi mna moyo Kama huyu dada?

Hapana, mimi binafsi nimeshashuhudia watu wameoa na kuolewa na walemavu. Unamkumbuka yule msanii (Jembe?) wa ze comedy? Mkewe mlemavu, simkumbuki jina? Hudhani kama jamaa angekuwa na mwanamke mrembo si ajabu angemuacha kitandani akawahi wazee wa mjini?

Shida ya ulemavu ni kumpata mwenye kujiamini na asietumia ulemavu wake kama sababu ya kushindwa maisha. wasiokuwa walemavu wanafulia kiuchumi, wanaugua, wanakuwa cheated, wanapoteza kazi etc. ulemavu ni limitation tu ya baadhi ya mambo, na sio kikwazo!
Mapenzi hayo yapo? Ni rahisi kwa maneno ila sio wengi wanaweza kufanya kwa vitendo.
 
ndio inawezekana,hapana chezea kupenda,kuna kilichomkosha ndio maana kakubali kuolewa nae
 
halaf mbona sura zao zinafanana sana utafikiri ndugu
 
Kweli inahitaji moyo..... Price mie siwezi

Bora umesema ukweli, najaribu kuvuta picha mrembo kutongozwa na mlemavu Kama huyo wengi wao watafikiria nn? It's a lot easier said than done.
 
In the name of LOVE...inawezekana
 
Japokuwa mimi si mwanamke lakini naamini wapo wanawake wengi tu wenye moyo huo. Nimeshapata kuwafahamu wanaume kadhaa wenye ulemavu lakini wana wake zao ambao ni wakamilifu wa viungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…