HAKUNAMATATA
JF-Expert Member
- Jun 29, 2017
- 1,006
- 2,289
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]Nilipopata hiyo sms wala sikusumbuka.
Nili-edit sms ya M-pesa niliyokuwa nimetumiwa pesa, pale kweny kiasi nikaweka 1mil, then nika-edit muda....nikamtumia
Then nikamtumia sms nyngn nikamwambia Samahani Kwa Kukucheleweshea Pesa Yako.
Ile pesa nitume kwenye namba ipi?Nilitumiwa juzi ujumbe kama huo,.na si Mara ya kwanza kutumiwa,..huwa nawapa jibu moja tuu ameizing sana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]Ile pesa nitume kwenye namba ipi?
Duuuu! 'umemkamulia'Mi nimemkamulia matusi hadi akakata simu eti anatuma sms rahisi ile pesa tuma kwenye namba hii simu yangu inasumbua mpesa namuuliza pesa ipi anauma maneno kala matusi ya haja hajarudia tena
Hiyo hiyoNamba ni hiyo hiyo juu au nyingine?