Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,552
- Thread starter
-
- #161
Ulitakaje kwa mfano.anza hivi, mimi ni binti wa miaka x ambaye nimekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa miaka y, na kwa muda wote huo sikuwahi kuchepuka!
unajua tunaweza kuwa tunajadiliana na binti wa 15 years ambaye hana hata uhakika kama bikr* yake ipo au huyo mwanaume wake kaitoa!
watu wenye umri mkubwa na walioko kwenye mahusiano kwa muda mrefu ndio wanaoweza kuzungumzia kuhusu kuchepuka!
we mtu unaujua muhogo mmoja tu, kwa wiki 2 halafu unazungumzia kuchepuka!
UMEULIZWA??Msiwe wajinga wa kufikiri. Mwanaume anaweza kuweka picha ya kike.... Acheni utoto. Au mnataka wanaume waje wawatongoze???
Mbona una maneno ya hovyo hivyo? Wewe umeshaleta tangazo na wajumbe wameshaelewa. Subiri application.Labda yeye ni mungu. Ukute hapo alipo yeye Hata wa kusingiziwa Hana. Na Kama kasingiziwa basi ni wa mwanaume mwenzie yeye analea tu
HahahahaUMEULIZWA??
sema una miaka mingapi (umri wako wa sasa)Ulitakaje kwa mfano.
[emoji23][emoji23]Tangazo lako limeshaonekana kwamba
1.UPO SINGLE
2.HAUCHEPUKI
3.UNAHAMU YA KUINGIA TENA KWENYE MAHUSIANO ILA HAUJAPATA MPENZI
4.HAUJATUMIKA SANA COZ ULIKUWA NA MPENZI MMOJA TU.
Haya sasa, mabazazi wa JF kazi kwenu
[emoji15] [emoji15] [emoji6]Sichepuki ng'o namsubiri haijarishi ni lini.
Miaka ya ninisema una miaka mingapi (umri wako wa sasa)
ulikuwa na mahusiano kwa muda gani?
muda ktk mahusiano ni factor ya msingi ktk kuchepuka!
kujua /uzoefu ktk game nayo ni factor maana ukipewa game sub-standard unajua unacho-kimiss!
lkn ukiwa first timer unadhani hicho upatacho ndio kipimio kwa wote, so kwanini uchepuke, lkn siku ukila hogo, then ukaenda kwa kibamia, halafu ukija wastani then utasema kama una uvumilivu au la!
Labda kama full tank yako inatoka ubungo unaishia mbez ila kama safar ndefu ahaa kuingia petrol station muhimu
very possible na sio kidumu pipa kabisaaaKama hutaingia ina maana utakuwa na kidumu
Na wanawake mnaongoza kwa kupendapendaYa kweli hayo Mkuu mana wanaume ndio mnaoongoza kwa kutamani tamani hivyo.
Ila kuingia kila kituo cha mafuta unachokutana nacho hapo mbele kunapoteza malengo sanavery possible na sio kidumu pipa kabisaaa
hilo kama utakua unajaza mafuta ya elfu kumi dawa ni unatafuta kituo kimoja matata sana unajaza full tank ukitoka hapo unaenda km 500 hiviIla kuingia kila kituo cha mafuta unachokutana nacho hapo mbele kunapoteza malengo sana