Wangapi hatujawahi kuchepuka katika mahusiano yetu?

Hakuna faida ya kuchepuka zaidi ya hasara na jakamoyo! Tulizana
 
Tangazo lako limeshaonekana kwamba
1.UPO SINGLE
2.HAUCHEPUKI
3.UNAHAMU YA KUINGIA TENA KWENYE MAHUSIANO ILA HAUJAPATA MPENZI
4.HAUJATUMIKA SANA COZ ULIKUWA NA MPENZI MMOJA TU.
Haya sasa, mabazazi wa JF kazi kwenu
 
Hujawahi kuchepuka kwa kuwa huna sifa za kuwa mchepukoooo[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Tangazo lako limeshaonekana kwamba
1.UPO SINGLE
2.HAUCHEPUKI
3.UNAHAMU YA KUINGIA TENA KWENYE MAHUSIANO ILA HAUJAPATA MPENZI
4.HAUJATUMIKA SANA COZ ULIKUWA NA MPENZI MMOJA TU.
Haya sasa, mabazazi wa JF kazi kwenu
Nipo single,
Sio mchepukaji,
Sihitaji mahisiano kwa sasa,
Na sijatumika Sana,
Jivunie ulichonacho.. Kwa hiyo Mimi najivuna. [emoji123]
 
Hilo tangazo lako la kutafuta mwanaume umelipia???
 
Tangazo lako limeshaonekana kwamba
1.UPO SINGLE
2.HAUCHEPUKI
3.UNAHAMU YA KUINGIA TENA KWENYE MAHUSIANO ILA HAUJAPATA MPENZI
4.HAUJATUMIKA SANA COZ ULIKUWA NA MPENZI MMOJA TU.
Haya sasa, mabazazi wa JF kazi kwenu
Ila siku nikiamua sasa kuingia kwenye mahusiano ntakuja na BANGO KUBWA. NATAFUTA MCHUMBA.......
 
Story yako kama yangu
 
Ukiona huchepuki hujiamini !
Unawaza ukichepuka utaonekana kasoro zako kwa hio itakua noma.... tena usishangae hata wakati wa mambo yetu lazima uzime taa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…