Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,549
Msema ukweli mpenzi wa MUNGU. Nilishawahi kuwa kwenye mahisiano na mwanaume mmoja na ndo aliekuwa mwanaume wangu wa kwanza na baadae niliachana nae. Sijawahi kuchepuka, baada ya yeye kuwa na tabia za kuchepuka nikaachana nae na sitakuwa mchepukaji hata nikiingia tena kwenye mapenzi katu kuchepuka ni kipaji.
Je, wewe unaweza kuwa na mwanaume/mwanamke mmoja bila kuchepuka?
Kumbuka unaposema uongo. MUNGU anakuona!
Je, wewe unaweza kuwa na mwanaume/mwanamke mmoja bila kuchepuka?
Kumbuka unaposema uongo. MUNGU anakuona!