PreGE2025 Wanenguaji waja na amka na mama Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
upinzani mnapigwa spana kila mahali hamna pa kupumulia sasahivi mtahenya mwaka huu
 
Finally, era of stupidity.

Tujipe moyo.

Hata Marekani wanapitia kipindi kama hiki wakati huu. Trump anatukuzwa na chama chake (Republican) na kuabudiwa na cabinet yake kama Kim Jong Un kule North Korea.

Wapiga kura wa Trump (MAGA base) na mashabiki wake wanadharau na kukebehi usomi na uanataaluma (expertise) kwamba ndio ujinga na upumbavu wa leo. Wasomi na wanataaluma wanaitwa “liberal elites”.

Elite (na elitism) ni title yenye hadhi kubwa kwenye jamii. Wao wameigeuza kuwa kituko fulani hivi.

Ukiongea jambo kwa ufasaha, elimu (knowledge) na mantiki kubwa unashtukiwa kuwa ni “liberal elite”. Unaweza kuzomewa, kukejeliwa hata kuitwa mshamba.

Unatakiwa uongee kwa mbwembwe kama Trump au Musk. Haijalishi unachosema. Watu wanataka kusikiliza hadaa zinazoeleweka na kukubalika kwa wanyonge (semi-literate working class). Halafu wewe unawaletea “usomi”? F’ck off loser!

It’s the era of stupidity - globally.
 
Ila atakuwa ameiacha nchi ikiwa mbavu tupu minofu yote imeondoka!
 
Mwaka wa uchaguzi huu mengi tutayaona
Bodaboda wanakuja na "chora na mama"
 
Sasa mtu kazi yake ndio hio kucheza ameona fursa kaamua kutumia hio fursa kufanya kazi yake...; Hilo wala halina tatizo...

Tatizo ni wale wanaotumia Kodi zetu kwenye mambo kama haya badala ya vitu vingi ambavyo vipo pending na ndio tumewatuma..., Au wale tunaowalipa wafanye kazi nyingine na kutuletea Sera za kufanya maisha yetu yawe bora nao wamegeuka kuwa Wasanii
 
Wote ni watanzania ni Haki Yao, na hawana kosa kunengua. Ingekuwa 'Mashoga wa Mama" ndio ningeshangaa
 
CCM inapenda wajingawajinga sampuli hii,wakati CHADEMA chanyewe kinawaamsha Watanzania.
 
DANCER’S Hao Wamesema Wao Ni Mashuhuda Jinsi Ambavyo Rais SAMIA SULUHU Na Dr HUSSEIN MWINYI Wamefanya Kazi Kubwa Kuboresha Nchi Kwenye Sekta Mbalimbali Ikiwemo Afya,Elimu Miundo Mbinu Ya Barabara N.k

kafanya makubwa na bado anaogopa kufanya uchaguzi wa uhuru na uwazi 😀😀
 
Wananengua wameshiba hao!
 
Washaona Kuna mapesa ya bure ya kujichotea kikubwa tu we anzisha jambo lako alafu mtaje mama. Kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…