wandungu pleaseeeeeeeee nisaidieni

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
431
Reaction score
211
Nina HUAWEI ascend y 200, U8655-1, inajirestart tu, yaan inatokea ile icon ya huawei then inarudia rudia hapo hapo, nimejaribu hard reset ya kubonyeza switch on + volume up lakini wapi, kinachotokea ni puple colour tu, nisaidieni jamani
 
Huyo ndo mchina, tupa kanunue simu nyingine.
 
Nina HUAWEI ascend y 200, U8655-1, inajirestart tu, yaan inatokea ile icon ya huawei then inarudia rudia hapo hapo, nimejaribu hard reset ya kubonyeza switch on + volume up lakini wapi, kinachotokea ni puple colour tu, nisaidieni jamani

go setting press restore factor setting then restart you can see it
 
Nina HUAWEI ascend y 200, U8655-1, inajirestart tu, yaan inatokea ile icon ya huawei then inarudia rudia hapo hapo, nimejaribu hard reset ya kubonyeza switch on + volume up lakini wapi, kinachotokea ni puple colour tu, nisaidieni jamani

mkuu fuata utaratibu huu zima sumu kabisa kisha bonyeza volume up(V+) kisha button ya kuwashia simu, simu itaebda kwenye recovery mode hapo utatumia buttons za sautu ku select menu nenda chagua Wipe/ Factory Reset kisha tumia button ya power ku select ikimaliza kila kitu chagua reboot now,

Kumbuja njia hii utafuta kila kitu na kuludisha simu kama ilivyo kua mpya.
 
mkuu hiyo njia nimetumia, kama nilivyoeleza katika maelezo yangu ya awali, kinachotokea ni puple colour tu, hakuna maandishi yoyote yanayotokea
 
ishawahi nitokea hii kitu. lakini nilitumia njia ya NingaR na nikafanikiwa.
 
Last edited by a moderator:

Kama njia hiyo imekataa hio inamaanisha kua tatizo ni OS ime corrupt na inashindwa ku boot, cha kufanya tafuta firmware ya simu yako kisha re install upya
 
nimefanikiwa mkuu, mwanzo nilikuwa nabonyeza VOLUME UP + VOLUME DOWN + SWITCH ON kumbe nilitakiwa kubofya VOLUME UP + SWITCH ON
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…