Wandugu tuwe na upendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wandugu tuwe na upendo

Discussion in 'Jamii Photos' started by kitalolo, Aug 17, 2012.

 1. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  upendo.jpg

  haswa kipindi hii kwani ni kipindi cha toba
   
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  khaaaaaaaaaaa! bado mumewe kunyonya, waeza kufa mtu kabla ya siku zako wallah!
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hiyo ndiyo njia nzuri ya kuwasaidia watoto yatima siyo kuwa futurisha mpaka wavimbiwe mara moja kwa mwaka.
   
 4. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  siku zipi sasa.
   
 5. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kule ukuriani, wanasema baba akitoka kulewa lazima anyonye maziwa ya mama eti kupunguza ulabu kichwani, cha ajabu akina mama nao wamekubali, nadhani kuna ka-uroda fulani hivi jibaba na mindevu kunyonya chuchu ya mtoto. NI malovee ya aina yakee kumzulumu mtoto!!! pombe unywe baba maziwa unywee!! aaah!!! dunia imeshagota!!
   
Loading...