Wandugu nani hayuko bussy?

Ndio nimeingia sasa Saint Ivuga. Unasemaje?
Uko tayari kuleta mahari home? au maslahi tu?

baba yako alisema kuwa nisipeleke mahari..mama ndio inabidi apewe shukrani kwa kukulea.. Siku hizi mahari zimepitwa na wakati.. Hata sisi mwanetu akiwa wa kike hatutamuozesha. Kwa mahari zaidi ya wewe kupewa tu shukrani...mambo vipi lakini my sweet heart wangu Mwali
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…