Ukifuatilia mbwembwe na matamko ya kisiasa hakika Tanzania yapaswa kuwa Dunia ya kwamza sasa,lakini kumbe hatuumbi ,bila ya kutenda kazi zetu kwa dhati na malengo itakuwa Longolongo tu
Hebu fikiria;
baada ya miaka hiyo bado kuna
,Maradhi sugu
,Elimu duni
,Makazi duni
,Pombe zisizo pimwa(tbs)
,Kilimo duni
,Barabara duni
,Mikataba ya Kimangungu
,Ushoga
,Katiba Mbovu
,Watawala wanafiki
,Rushwa iliyokhithiri
,Bunge club
,Mahakama isiyo huru
wandugu tufanyeje sasa?
Hebu fikiria;
baada ya miaka hiyo bado kuna
,Maradhi sugu
,Elimu duni
,Makazi duni
,Pombe zisizo pimwa(tbs)
,Kilimo duni
,Barabara duni
,Mikataba ya Kimangungu
,Ushoga
,Katiba Mbovu
,Watawala wanafiki
,Rushwa iliyokhithiri
,Bunge club
,Mahakama isiyo huru
wandugu tufanyeje sasa?