Wanazuoni mnaojua sheria lielewesheni hili

Leliro

Member
Jan 10, 2011
83
9
Mara nyingi nimesikia watumishi wa serikali za mitaa wakituhumiwa kufuja mali za umma na vitu vinavyofanana na wizi. Hii pia ilishasemwa na mkaguzi mkuu wa serikali, wabunge nao karibuni kila halmashauri wanayotembelea wanakuta kuna uozo. Je hawa watumishi wana kinga ya kutoshitakiwa? au wanajua sana kujitetea pindi wanapofikishwa mahakamani kiasi kwamba tunawaona wanadunda halmashauri moja hadi nyiingine? au kama wanalipa fedha hizi huingia mfuko upi wa serikali? na kama wanalipa kwanini wezi wengine wasiowatumishi wa halmashauri wao hufungwa na hawapewi nafasi ya kuzirudisha (mfano kuku) kwa wenyewe? Je ni udhaifu wa sheria au ni kitu kingine? Nawasilisha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom