Wanazi juu ya Russia na Wayahudi

Wanazi juu ya Russia na Wayahudi

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,386
Reaction score
2,588
Nawaza tu kwa sauti, msije sema mimi mnazi ila kwa yanayoendelea kipindi hiki huko Iran na Ukraine. Naweza sema Manazi wa Germany walikuwa mbele sana ya muda.

Haya majitu mawili hapa Duniani Israel na Russia yamekuwa mwiba mkali sana kwa wapenda Haki, uovu wao hadharani umechoma Mioyo ya wengi. Ama kweli kanyoka kadogo ukikafuga kanaweza kuwa liChatu linene, poleni sana wapelestina kwa kufuga minyoo iliyogeuka chatu.

Tunaingia zama za uwazi kile kivuli cha Demokrasia alichokuwa Marekani anajificha kinazidi kufifia, kwanza alimsaidia mrusi enzi hizo kumpiga mnazi.

Tena akaja msaidia myahudi pori kuanzisha taifa lake. Ala kumbe toka zamani Marekani ndilo lishetani lenyewe lenye vichwa saba.
 
Afadhali wewe unaamini kuwa Kuna wakati walikuwa persecuted na marekan akawasaidia kutengeneza taifa lao.
Kuna wengine huyu hata ilo watakupinga..wanaamini kuwa akina Mohamed Abbas ndiyo Wayahudi wenyewe na hao Wanazi unaowasema wewe ni Tungo tu za kuhalalisha madai ya wayahudi wa mchongo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom