wanawake

wanawake

yaani hawa wanawake hawa, mimi huwa hata siwaelewi. ila come to think of it; in some ways wanawasaidia wanaume wachakarike na wasibweteke tu kwa kupozwa na ngono as the only readily available starehe.
 
wanawake wa siku hizi nao ni kumnyima mtu mpaka tigO wanagawa hao na wanapenda sana kutoa kabaang 86% ndo zao na ndo khabari ya mujini sijui vijijini huko, mbona nnao wanne tena wako mtaa mmoja nikitoka job huwa lazima nikifika jioni naita mmoja napiga,mda wa kulala naita mwingine napiga kama piritoni kisha najilalia zangu,na ni marufuku kulala kwangu au kuja pasipo kuitwa.
Heee mabig haya .....kwahyo ndo unahc unawakomesha kwa kupga kila uktoka kazin?af wat do u gain apart frm kale kautamu ka sekunde af miaka ming?ivi unajisikia unavyoongea lakn?
 
Inashangaza, inasikitisha tamaa mbele, hupenda shortcut ya maisha anataka uwe na gari,nyumba,pesa nyingi wao ndo wanaona hayo maisha ukizingatia kwao hivyo vitu vimekosekana pamoja na kwamba naye pia ana zaidi ya miaka 10 kazini hajanunua hata sanlg, ila wanataka wakuone unavyo ukizingatia hawajui we umevitoa wapi cheki Kajala,alivikuta hajui vilitoka wapi at ze end? Manamake bwana yani yapo tayari hata kama wewe ni mumewe akitokea zombi mwenye hivyo akamtaka yuko tayari kukuua au kufanya lolote, ukiwa navyo hivyo huwa hawajali tabia au ucha Mungu wako. Mwanamke atakupa kila kitu kwenye mwili wake shame on them,maisha na anasa za dunia zinatafutika na zinapita,ukikaribia zeeka ndo unaanza kujikosha kwa yeyote yule akuoe ili mradi uhakika wa daily basic needs uwepo,ulipokuwa kigori unasifiwa manjemba wakakutumia hukuyaona hayo? Kaa na mwenzio utulie muweke mipango mikakati kuweza kupata yote na si kutaka kudandia vya watu vinawaponza sana lazima ujiulize mwanaume mwenye hivyo vitu anakutaka je hivi ni kweli pamoja na kuwa na mali zote hizo hana mwanamke au wanawake au hawamuoni? Out of hapo utakuwa kama condom used.

Usiwe na hasira, hv unajua kwa nini wanawake wa siku hizi wanapenda mtu ambaye ameshajijenga kimaisha? Yaani mwenye gari, nyumba na maaset kibao? Wanaume ndio chanzo. Dada wa watu anaweza akakuvumilia kwa ulofa ulio nao na akaweka juhudi kwenye kukuza kipato cha familia mwisho wa siku anajikuta hana chake, ameachwa anatafutwa mwingine ambaye anakuja kula kiulaini. Ndio maana wanawake/wadada wengi wa mjini wameona ni ujinga kuwa na mtu lofa alafu akifanikiwa uko naye hakumbuki mlikotoka, hivyo shortcut ni kutafuta mwenye nacho. Hivyo usiwalaumu sana, mabadiliko yaanzie kwako.
 
yani huna gari nikutake wa nini
cha kupigwa na jua lol!!
tunataka wenye magari tena
yenye viyoyozi hureeee,kama huna piga kimya!!
 
Heee mabig haya .....kwahyo ndo unahc unawakomesha kwa kupga kila uktoka kazin?af wat do u gain apart frm kale kautamu ka sekunde af miaka ming?ivi unajisikia unavyoongea lakn?

nitolee pumba zako hapa amini unavyoamini ndiyo sahihi usjishughurishe na hisia za mtu maana na yeye haamini za kwako anaziona ni za kijinga so sory kaa kimya.
 
yani huna gari nikutake wa nini
cha kupigwa na jua lol!!
tunataka wenye magari tena
yenye viyoyozi hureeee,kama huna piga kimya!!

haya ndo yanawaponza kama ni jambazi sku kikinuka uwe tayari kwenda nae jera,gari gari wakati kwenu ukoo mzma hakuna mwenye gari na nahsi una lisura libaya unapga mayowe hapa kwenda zako kizee wewe ukuoe nani labda utoe kabaang upate lift ya kwenda mwenge ukachague mitumba ya 500 utasubiri sana wenye magari b.oya wewe,na ndo maana wanawa.f.i.la sana sku hzi si unataka gari lete kabaaang hata bei ya mafuta huijui wewe ku.b.w.a jin.ga
 
Wapo bado wanawake bora wengi tu pengine hujakutana nao. Sasa niulize, nasikia siku hizi wanaume hawapendi kabisa uzee hadi imeandikwa uzee mwisho chalinze mjini wote baby je unaichukuliaje hii nayo, je ni wanaume wote wako hivyo auuuuuuu??????????????????
 
haya ndo yanawaponza kama ni jambazi sku kikinuka uwe tayari kwenda nae jera,gari gari wakati kwenu ukoo mzma hakuna mwenye gari na nahsi una lisura libaya unapga mayowe hapa kwenda zako kizee wewe ukuoe nani labda utoe kabaang upate lift ya kwenda mwenge ukachague mitumba ya 500 utasubiri sana wenye magari b.oya wewe,na ndo maana wanawa.f.i.la sana sku hzi si unataka gari lete kabaaang hata bei ya mafuta huijui wewe ku.b.w.a jin.ga

Mwambie huyo anadhania kila mwanamke ni tegemezi..watu wana make money zao..elimu za kutosha.....ukiona hivyo ht bodaboda hawezi afford mpk amake 10 years...
 
mkuu hapo kwenye matawi hapo umeniacha hoi...mei mosi njema
Mimi huwa nawaambia sina
fedha wala dhahabu, ila nina akili na uwezo wa kupata fedha na majumba
na magari na punda na farasi kabla sijafikisha miaka 40.
Pia nina kitu kingine cha ziada na kizuri kaidi.
Nina mpini wa nchi tisa, wenye kipenyo cha sentimeta sita, tena una
vimatawi matawi, kama vile viduda ambavyo baadhi ya watu huzaliwa navyo
kwenye kidole cha mwisho.
Pia nina nguvu za kiumeni zilizopitiliza, na nina upendo wa dhati kama
mabakuli mia mbili hivi.
Vyote hivi ni kwa ajili yako mrembo
 
Mwambie huyo anadhania kila mwanamke ni tegemezi..watu wana make money zao..elimu za kutosha.....ukiona hivyo ht bodaboda hawezi afford mpk amake 10 years...

maskini utawajua tu
hata ubongo wao ni wa
kimaskini!!njoo nikuazime ndinga yangu hahahaaaa!!
poleni sana!!
 
Mkuu sio kila mwanamke yuko katika mtazamo wako, wapo ambao wanaridhika na hali zao na za wenza wao. usipende kufanya kosa la kuhukumu kundi lote au kundi kubwa kwa kosa la mmoja au wachache. achana na misemo ya kizamani kama vile samaki mmoja akioza wete wameoza. Kumbuka kuwa nyumba yenye mafanikio nyuma yake yupo mwanamke.

bora umwambie
maana hawa wageni wanaovamia
nawdays hawasomeki!!
 
Usitutolee povu ukafia hapa jamvini. Nani kakulazimisha. Hela yako ya mawazo kula na nduguzo.
 
Back
Top Bottom