Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
Tena tunahitaji kiungo mkabaji kama wewenaweza kupata usajili? hata wa mkopo tu?
those vigezoz are tempting me!
Tena tunahitaji kiungo mkabaji kama wewenaweza kupata usajili? hata wa mkopo tu?
those vigezoz are tempting me!
soma paragraph ya mwishoTeh teh teh nadhani wanabaki wameduwaa baada ya yote hayo unapowaambia kuwa kwenye sehemu iliyokuwa bold pamoja na ubora wake lakini haliwiki.
well..well well!! hapa naona. its you who is having problems..lol
Tena tunahitaji kiungo mkabaji kama wewe
sawa ni mimi endelea kuamini vyovyote vile bt ukitaka nijua vyema ni PM uje kwangu kisha nkuitie nnao wagegeda nnao wanne wako mtaa mmoja na wote wanaridhisha takuitia mmoja baada ya mwingine.
Hapo ndipo utakapokula zangu zabibu peke yako, mwaJ ataishia kusikia harufu tuhahaaa na navyijua kukaba walahi hutachomoka..
heheee..me! coming to yo place nione unaowagegeda..what for! sina muda huo.
its yo life buddie.
soma paragraph ya mwisho
That is extreme and not too much, everything too much is harmful.Seen...though too much is harmful, then it can scared them.
teh teh teh nadhani wanabaki wameduwaa baada ya yote hayo unapowaambia kuwa kwenye sehemu iliyokuwa bold pamoja na ubora wake lakini haliwiki.
Ukiona manyoya jua ........ Ni vyema mtu akajikuna afikapo si kuparamia matawi ya juu kama NIVEAkwiwkwiwkwiwkwiwkwi utakuwa unatoka familia maskini kama mimi
Ukiona manyoyajua ........ Ni vyema mtu akajikuna afikapo si kuparamia matawi ya juu kama NIVEA
Mimi huwa nawaambia sina fedha wala dhahabu, ila nina akili na uwezo wa kupata fedha na majumba na magari na punda na farasi kabla sijafikisha miaka 40.
Pia nina kitu kingine cha ziada na kizuri kaidi.
Nina mpini wa nchi tisa, wenye kipenyo cha sentimeta sita, tena una vimatawi matawi, kama vile viduda ambavyo baadhi ya watu huzaliwa navyo kwenye kidole cha mwisho.
Pia nina nguvu za kiumeni zilizopitiliza, na nina upendo wa dhati kama mabakuli mia mbili hivi.
Vyote hivi ni kwa ajili yako mrembo
Kumbe umeona! Pia usisahau kuwa mbuyu ulianza kama mchicha. Hata mie baada ya mwaka mmoja mambo safiJoin Date : 28th April 2013
Posts : 6
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given1
kwiwkwiwkwiwkwiwkwik wewe pia uutakuwa familia za hali ya chini kama mimi ndio huwa hatuishiwa kulalama
HAHAHAHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAPoleni sana wanawake,
Hata huyu mnabeba kweli nyie ni magleda.
ukae kimya usihukumu jambo ambalo huna uhakika nalo no research no right to say, unapokurupuka na kudai ni mimi una maana gani wewe? Usiniletee ujuaji wa kijikejike hapa kaa utulie huko ulipo usirudie kuropoka kwenye jambo ambalo huna uhakika nalo.
Inashangaza, inasikitisha tamaa mbele, hupenda shortcut ya maisha anataka uwe na gari,nyumba,pesa nyingi wao ndo wanaona hayo maisha ukizingatia kwao hivyo vitu vimekosekana pamoja na kwamba naye pia ana zaidi ya miaka 10 kazini hajanunua hata sanlg, ila wanataka wakuone unavyo ukizingatia hawajui we umevitoa wapi cheki Kajala,alivikuta hajui vilitoka wapi at ze end? Manamake bwana yani yapo tayari hata kama wewe ni mumewe akitokea zombi mwenye hivyo akamtaka yuko tayari kukuua au kufanya lolote, ukiwa navyo hivyo huwa hawajali tabia au ucha Mungu wako. Mwanamke atakupa kila kitu kwenye mwili wake shame on them,maisha na anasa za dunia zinatafutika na zinapita,ukikaribia zeeka ndo unaanza kujikosha kwa yeyote yule akuoe ili mradi uhakika wa daily basic needs uwepo,ulipokuwa kigori unasifiwa manjemba wakakutumia hukuyaona hayo? Kaa na mwenzio utulie muweke mipango mikakati kuweza kupata yote na si kutaka kudandia vya watu vinawaponza sana lazima ujiulize mwanaume mwenye hivyo vitu anakutaka je hivi ni kweli pamoja na kuwa na mali zote hizo hana mwanamke au wanawake au hawamuoni? Out of hapo utakuwa kama condom used.