Wanawake wote wakiwa independent...wanaume tutalia.......

Hii itakuwa inaishia haki itakuwa inaishia Chalinze, mikoani ajaribu aone kilichomtia kanga madoa.
 
huyo anataka kubatilisha ndoa, kama mtu anataka kuwa independent basi asiolewe ili kukwepa vijimaswali vidogovidogo,hata haki za binadamu zina mipaka heee na ndoa nayo ina maadili yake, mimi nahisi huyo mama kichwani hazimo timamu
 
Wanasheria ni kama mashine. Mambo mengine ni wazi kabisa na wanayafanya kuwa magumu. Hii yote ni kwa hisani ya watu wa marekani. Ndugu wa mada nikutoe hofu. There will never be independent women as there are no independent men. Pretence of indepenency is an aspect of frustratrion and indifference in choices

hata mi naona ni kwa hisani ya watu wa marekani ndo maana anapayuka tu
 
Mimi sheria zisijue, lakini bi mkubwa wangu hawezi pigiwa simu usiku wa manane bila kuulizwa.
 
Kuna mwanamke mmoja ambaye anafanya kazi kitengo cha haki za
binaadamu hapa tz nilikuwa napiga nae story.....

Maelezo aliyonipa yamenifanya nianze kuamini kuwa
hizi harakati za wanawake mwisho zitaleta maumivu mengi kwa wanaume

mfano anasema kwa ujibu wa haki za binadaamu...

Mume hutakiwi hata kugusa simu ya mke.
Kumuuliza nani amempigia mfano umesikia sauti ya kiume inaongea
kwenye simu na mkeo.....na mambo mengi mno.....

Mwisho tukaishia kubadilishana namba za simu..
Akaniambia niko free kumpigia time yeyote...hata usiku wa manane...

Mumewe hawezi kumuuliza wala kupokea simu yake...

Yeye na mumewe wote wanasheria.........

Tunashukuru kwa taarifa
 
Hizo haki za binadamu zinazosema yote hayo ziko wapi? Maana asije akawa alikuwa anakuambia makubaliano yake na mumewe na kujifanya kana kwamba makubaliano yao ndio haki za binadamu.

yeah inaonekana ni kwa mujibu wa makubaliano yake na mumewe sasa anabadilisha na kusema kwa mujibu wa haki za binadamu
 
Mazee ningekuwa mimi ndo wewe, ningempa pole huyo mwanamke kwa kukosa kuolewa na mwanaume, ninge muambia pole sana, sikujua kama umeolewa na sanamu la kiume :violin:
 
mi nisaidie tu namba yake namimi nijaribu kufaidi haki za binadamu lol
 
Kuna mwanamke mmoja ambaye anafanya kazi kitengo cha haki za
binaadamu hapa tz nilikuwa napiga nae story.....

Maelezo aliyonipa yamenifanya nianze kuamini kuwa
hizi harakati za wanawake mwisho zitaleta maumivu mengi kwa wanaume

mfano anasema kwa ujibu wa haki za binadaamu...

Mume hutakiwi hata kugusa simu ya mke.
Kumuuliza nani amempigia mfano umesikia sauti ya kiume inaongea
kwenye simu na mkeo.....na mambo mengi mno.....

Mwisho tukaishia kubadilishana namba za simu..
Akaniambia niko free kumpigia time yeyote...hata usiku wa manane...

Mumewe hawezi kumuuliza wala kupokea simu yake...

Yeye na mumewe wote wanasheria.........
nilishawashauri ndigu jamaa na marafiki zangu wa kike.
kama kweli mtu unataka ndoa, na unataka ndoa yako iwe na heshima
na idumu epuka na hizi movements za usawa za siku hizi.
Kuna movemet nyingi siku hizi, mara pheminism, mara wabeijinj, mara human right, mara gender equity and equality mara 50/50 na nyingine kibao.
Hizi ni theory, na theory ambazo zina miziz nchi za mbali na wala kwetu sisis hazina mashiko.
hazieleweki na watu wengi wala hazijaubalika na watu wengi. sasa kinachotokea ni kua mtu anzisomoma klasss au mikutanoni anaziadopt na kwenda kuzipractise kama zilivyo hom.
hapa unavunja ndoa fast.
kama mwanaume nakubali kua fair kwa mke wangu, lakini huyu mke wangu awe na akili nae anitafsii kama mtu ninae kua fair na si mtu ninae kuabaliana na hizi theory.
Mfano, kama nipo na kmkwe wangu, me naamka aubuh na ye tunaenda job, wote tunarudi mda mmoja tumechoka. Ni ubinadam mimi kumsaidia kufua yeye apike, au kudeki yeye amwogeshe mtoto lakini pia sio ubinadam wala si mapenzi kumwaca akafanya hizi shughuli ote me nikaangalia TV.
ILA, Pia anatakiwa atafsiri hali hii kama upendo na fairness lakii si kua me ni mjinga au amenishika.hapa atavunja ndoa.
 
Kuna mwanamke mmoja ambaye anafanya kazi kitengo cha haki za
binaadamu hapa tz nilikuwa napiga nae story.....

Maelezo aliyonipa yamenifanya nianze kuamini kuwa
hizi harakati za wanawake mwisho zitaleta maumivu mengi kwa wanaume

mfano anasema kwa ujibu wa haki za binadaamu...

Mume hutakiwi hata kugusa simu ya mke.
Kumuuliza nani amempigia mfano umesikia sauti ya kiume inaongea
kwenye simu na mkeo.....na mambo mengi mno.....

Mwisho tukaishia kubadilishana namba za simu..
Akaniambia niko free kumpigia time yeyote...hata usiku wa manane...

Mumewe hawezi kumuuliza wala kupokea simu yake...

Yeye na mumewe wote wanasheria.........

yeye ndo kasema na haitakaa itokee chini ya jua hili, afu mbona hata wanawake wanauliza wanaume nani kakupigia simu?
 
Kukataa simu isiangaliwe sio definition ya kuwa 'Independent'. Mtu ukishaamua kujiingiza kwenye mahusiano unakua umekubali kushare mwili,fikra,hisia na mambo yako mengine na mtu mwingine. Sasa kama huko tayari kufanya hivyo ni bora ukakaa mwenyewe ili kila kitu kibaki kuwa ni chako.

Labda useme kwamba wadada wakiwa INDEPENDENT ukiwa na maana ya kuwa na maendeleo binafsi bila kutegemea wanaume ndo mtakua na wakati mgumu maana wale waliozoea 'kununua' mahusiano watabaki kapa. Zaidi ya hapo hamna kitu. . . . .
 
Back
Top Bottom