Wanawake wote tafadhali soma Isaya 4:1 kwenye Biblia takatifu

Hainaga ushemeji

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
451
777
Maneno matakatifu yanasema;

'1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.

Kwa ile lugha iliyokuja na Meli

In that day seven women will take hold of one man and say, "We will eat our own food and provide our own clothes; only let us be called by your name. Take away our disgrace.

Wakuu hayo sio maneno yangu bali ya Biblia takatifu ambayo nimeyaona nikiwa naipitia kabla sijalala. Utabiri wa Biblia haujawahi kumuacha mtu salama.

So, wale wanaojidai sijui nataka mume ana masters, mweupe, mweusi, tajiri blah blah wajiandae 'kupambana na hali yao'

NB: Usilete udini kwenye hii thread tafadhali.
 
Maneno matakatifu yanasema

'1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.

Kwa ile lugha iliyokuja na Meli

In that day seven women will take hold of one man and say, "We will eat our own food and provide our own clothes; only let us be called by your name. Take away our disgrace!

Wakuu hayo sio maneno yangu Bali ya biblia takatifu ambayo nimeyaona nikiwa naipitia kabla sijalala... Utabiri wa biblia haujawahi kumuacha mtu salama

So, wale wanaojidai sijui nataka mume ana masters,mweupe,mweusi,tajiri....blah blah wajiandae 'kupambana na hali yao'

NB: usilete udini kwenye hii thread Tafadhali...
Ndio maana yake Ndio hiyo kk?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana yake Ndio hiyo kk?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ina maana itafika mahali swala la kuolewa litakua kitendawili... Na kina Sky Eclat Evelyn Salt miss chagga Miss Natafuta rubii Shunie mahondaw wanaosumbua sa hivi watakuja wote kwa pamoja wakitaka angalau ndoa uwaondelee aibu zao

Huku wakijiapiza kuacha kukupiga mizinga ya 'misosi' na 'viwalo' kila MTU akiahidi 'kupambana na hali yake'

NB: Dada zangu nawapenda haya maneno ya kwenye biblia msije kunikaba koo
 
Nmecheka sana Mkuu wanakuja japo mmoja ameshajitokeza ...labda wanasoma maandiko watakuja na kombora jipya
 
Ahakikishe tu na yeye anakuwa na sifa za kufuatwa na wanawake saba. Unaweza kushangaa mwanaume mmoja anafuatwa na wanawake mia, wakati huo yeye hana hata mwanamke wa kusingiziwa.

CC Hainaga ushemeji
haha mkuu 'nyumbu' wakiwa wanavuka mto hata mamba awe mvivu vipi hawezi kukosa chakula... Utabiri utakapotimia Nina imani kila mtu atapata wa kujiliwaza
 
Maneno matakatifu yanasema

'1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.

Kwa ile lugha iliyokuja na Meli

In that day seven women will take hold of one man and say, "We will eat our own food and provide our own clothes; only let us be called by your name. Take away our disgrace!

Wakuu hayo sio maneno yangu Bali ya biblia takatifu ambayo nimeyaona nikiwa naipitia kabla sijalala... Utabiri wa biblia haujawahi kumuacha mtu salama

So, wale wanaojidai sijui nataka mume ana masters,mweupe,mweusi,tajiri....blah blah wajiandae 'kupambana na hali yao'

NB: usilete udini kwenye hii thread Tafadhali...
Kwanza hata kuandika kifungu hujui Isaya4:1 sio kutukurupusha kusoma Isaya 41, hapo sio hao wanawake ni wake bali kuwa wake fake nani anaweza hao 7 mmoja tu mpaka aridhike ni shughuli hao watapewa nini kila siku wamechoka kupiga domo tu round 6 kumbe 1 tu sekunde 8 wazamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ina maana itafika mahali swala la kuolewa litakua kitendawili... Na kina Sky Eclat Evelyn Salt miss chagga Miss Natafuta rubii Shunie mahondaw wanaosumbua sa hivi watakuja wote kwa pamoja wakitaka angalau ndoa uwaondelee aibu zao

Huku wakijiapiza kuacha kukupiga mizinga ya 'misosi' na 'viwalo' kila MTU akiahidi 'kupambana na hali yake'

NB: Dada zangu nawapenda haya maneno ya kwenye biblia msije kunikaba koo
Tumekusikia mkuu jaman hatutasumbua tena
 
Kwanza hata kuandika kifungu hujui Isaya4:1 sio kutukurupusha kusoma Isaya 41, hapo sio hao wanawake ni wake bali kuwa wake fake nani anaweza hao 7 mmoja tu mpaka aridhike ni shughuli hao watapewa nini kila siku wamechoka kupiga domo tu round 6 kumbe 1 tu sekunde 8 wazamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah... Mkuu unaelewa ulichoandika?
 
Back
Top Bottom