Wanawake wote bongo mna simu mbovu??

Wanawake wote bongo mna simu mbovu??

bona

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2009
Posts
3,798
Reaction score
1,444
Wanajamvi naomba nitoe duku duku langu leo kuhusu kina dada ktk suala la simu!!! kila dada ninayetaka kuanza nae mahusiano anamajibu yafuatayo kuhusu simu yake-

1. simu yangu mbovu iko kwa fundi hata kama cku za mwanzo ulikua unamuona na simu.
2. simu hii ninayotumia ni ya mdogo wangu yangu ni mbovu ni kimeo kweli kweli iko kwa fundi ukimwambia nipe nikupekee kwa fundi atakwambai nimehangaika mafundi wameishindwa natafuta nyingine tu ili nimrudishie mdogo wangu hii simu yake!!!
3. Naomba ninunulie smart phone maana natumia kitochi ( hata kama alikua ana simu nzuri uliyokua ukimuona nayo kila cku unaanza kumuona na kitochi ).
4. simu yangu haina watsup ningepata simu nzuri ningekua napiga nakutumia picha kwa watsup ( kana kwamba nili mwambia nataka kutumiwa picha na watsup).
6. hiki kisimu hakikai na chaji kabisa napata tabu sana!!!

na ukiongeza jitihada za kupuuza anaongeza vituko mara mda mwingi anakua hapatikani ikitokea ukimpata atajibu kwa ukali kidogo si nimekwambia simu yangu mbovu!!!

Ni kweli kwamba hakuna mdada mwenye simu nzima???? Please kama kuna dada mwenye simu nzima ni PM nikutoe hata out daaaa!!!!
 
Hiyo ni kukufamisha kuwa mpaka unapomkuta na ukataka mahusiano ni kwamba "AMEGHARAMIWA / AMEJIGHARAMIA", ni sharti nawe uanze kuonyesha ushirikiano wa kutoa gharama ili aweze kuendelea ku-maintain uzuri wake (Uzuri ni kuanzia alivyo na alivyonavyo).

Usione vyaelea bro..........!!!
 
We nawe! Miye sim yangu ndo kimeo kabisaaaaaa haisomi msg! Nipelekee kwa fundi basi! Loh!
 
Hebu ukikutana nao tena nipe contacts zao kwa pm, nina dawa yao, nawe ukiitaka nipm bona
 
Last edited by a moderator:
Haahhahaha sa c tunataka cm nzuri bwana au?? Khaaaaa we mwenio anunue we uje uunge tu kuanza kuwasiliana nunua yako ya mawasiliano
 
ningewish tu aje clean na kudai cim badala ya kuja na excuse chungu mzima!!!
 
Halafu tukitafuta wenye nazo mnaanza zogo,sasa haya mambo ni yakuja kusema huku?Ningecoment na simu gani kama nisingenunuliwa ya hela ndefu tena bila kuomba.Ubahili wa mtu ndio unasababisha mpigwe mizinga kuna wengine hatuwezi kuomba.
 
We nawe! Miye sim yangu ndo kimeo kabisaaaaaa haisomi msg! Nipelekee kwa fundi basi! Loh!

hahaha haahaha weee ndio umeamua kukomeshea kabisa. wewe subiri ataitengeneza halafu sijui utasingizia nini?
 
huyo jamaa inaonekana mambo yake hayajakaa sawa. sasa subiri yakikaa sawa atawanunulia wanawake wote wa bongo simu halafu mtatafutana huko kwake. inaonekana ana njaa sana ya mawasiliano na wanawake. hahahaa, Munkari subiri tuu atakununulia soon, wewe onyesha nia tu.
 
ntamwambia batani zimegoma hazibonyezeki!

huyo jamaa inaonekana mambo yake hayajakaa sawa. sasa subiri yakikaa sawa atawanunulia wanawake wote wa bongo simu halafu mtatafutana huko kwake. inaonekana ana njaa sana ya mawasiliano na wanawake. hahahaa, Munkari subiri tuu atakununulia soon, wewe onyesha nia tu.
 
images
 
Kwani simu ndo inasoma message au mwenye simu?

Labda ungesema storage capacity ya sms ni 1message!

We nawe! Miye sim yangu ndo kimeo kabisaaaaaa haisomi msg! Nipelekee kwa fundi basi! Loh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom