Wanawake Weusi wana sifa nzuri sana

Ombi langu kwenu wanawake wa hapa JF.
Kwakua mumeafiki kwa sifa njema kabisa ambazo mwandishi wa mada hii amewapa.
Naomba mjitokeze kwa kutuma picha zenu pm kwangu ili kusudi nithibitishe kama kweli nyinyi ni weusi.
Asanteni sana kwa usikivu wenu.
 
Waafrika wote ni weusi ama vepeee sijakuelewa unawalinganisha Ana wazungu au unamaanisha aje
 
Nyeupe ni kwa macho tuu.
Lakini nyeusi ni kwa macho na moyo.

Penda Sana my black wang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…