Tatizo siyo kujichubua wala nywele za bandia, ila ni kuwa wasichana weusi wanaanza ngono wakiwa na umri mdogo sana kulinganisha na wazungu na baya zaidi asilimia karibia themanini (80%) ya mabinti hao wanazaa kabla ya kufikisha miaka 18.
Ukitaka kujua angalia watu weusi wenye wake weusi utakuta ni wachache sana, na sababu kubwa ni kwamba wanaume wanapofikisha umri wa kuoa, mabinti wote wanakuwa tayari wana watoto nje ya ndoa. Ndiyo maana wengi wanaishia kuoa wazungu.