Wanawake weupe vs Wanawake weusi

Mkuu hii study nzuri jaribu kuifanyia kitu. Inaweza kukulipa
 
Asante mkuu hii kuchanika inawakumba wanawake wengi wakati wakuzaa nikijiwazia cjui nitumie njia IPI mbadala ya kuja kukwepa only few hutoka salama aisee, sasa kuna rudi normal kweli mbona majanga

Sent using Jamii Forums mobile app
ile avatar uliyoitoa kumbe ulikuwe ndo wewe ? Maana ilikuwa na rangi nyeupe
 
unakojoaje sasa kama joto hakuna.....joto lipo achana na izo feeling mbaya ila mwanamke yoyote mnene lazima awe na joto la hatari unaweza kojoa ovyo ovyo pasipo kutarajia
hapa utaleta mada ingine ya wanawake wanene nan wembamba

teh teh

JF never boring aisee
 
Mmmh!!!
 
hakika umenena kwa hekima sanaaa you deserve my respect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…