[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hamna kipenzi, inarudia hali yake kabsaa, sasa ukiogopa nasi twataka mababy itakuwaje sasa?
hahah.. hamna bhana
😂😂😂😂 kwa hyo ww utaopt CS au lakin ukumbuke na Cs nayo inakuacha na ulemavu city centre
Sema hata wewe ukianza kujisifia mabaya unao wazidi umri na unao wazaa utawafundisha nini!Uko sahihi,na si katika tabia njema kuwa unazungumzia mabaya yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapaka mkorogo au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weupe hawa hawa wa tz
tuache mkuu, tujikite na mada iliyo mezani kwanza!
Nasinipate kabisa maana si kazi rahisi aisee yataka moyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hamna kipenzi, inarudia hali yake kabsaa, sasa ukiogopa nasi twataka mababy itakuwaje sasa?
nakuhakikishia haya hayatakupata, ntahakikisha natimiza majukumu yangu vyema, hadi unaenda leba utaingia moyo ukiwa mweupe no complikesheni zitakazotokea, kitu kitateleza chwiiiip[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siwezi opt operation maana ile inauma rest of ur life aisee, bora kawaida unapona waendelea kudunda tu. Ulemavu yote ni hatari mkuu bora wa chini operation INA kufanya mgonjwa na nguvu zinapungua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hyo ww utaopt CS au lakin ukumbuke na Cs nayo inakuacha na ulemavu city centre
au bora ulemavu wa city centre kuliko downtown [emoji23]
Anataka kupoteza Madatuache mkuu, tujikite na mada iliyo mezani kwanza!