Wanawake Weupe Hawana Uzuri Wowote

Sijawahi kusikia kuna dawa zinauzwa uwe mweusi hao kina dada wanatumia pesa zao chungu nzima na mafilter ya camera ili waonakane weupe sasa huwezi kusema black is beuty wakati wenyewe black wako busy na macream na camera fliters waonekane weupe. mpaka hapo 99.9% white wako juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…