Guus
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,167
- 904
Kwa hiyo mnamaana yale "madish washer" hayaoshi vyombo yenyewe!! Mimi sijawahi kutumia ila nafahamu yapo. Hivi zile "Powerball-Finish Classic Soap" zinatumika katika nini?
Nikajua nipo alone