Wanawake wetu jamani

Wanawake wetu jamani

gwahe

Senior Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
147
Reaction score
84
Wanajavi.

Babu yangu alinieleza mkasa mmoja wa hawa viumbe, ambao ni wake zetu wa ndoa.

Alisema, Siku moja mke wake alimwomba amsaidie kubeba jembe baada ya kutoka shambani. Babu alikubali...

Mke wake alikuwa anabeba mtoto, jembe na mtoto mgongoni na kuni pia. Kuona hivyo Kweli babu aliona logic ya kusaidia jembe. Baada ya wiki moja. Mke wake akaomba asaidiwe tena na mtoto maana mkewe alikuwa anakusanya kuni. Ohh mumewe akakubali. Sasa husband akawa na jembe mbili na mtoto pia.

Baada ya siku 3 wife akasema anajisikia vibaya sn anataka kwenda msalani kukojoa. Akasema, asaidiwe na kuni pia. Sasa hapo ndo husband akabeba jembe 2, mtoto na kuni.Baada ya wife kurudi, wife akasema, mbona yeye huwa anabeba vyote bila kulalamika. Kumbe humpendi.

Babu akabeba vyote, jembe, mtoto na kuni mpk nyumbani. Kufika nyumbani Babu akasema. Tangu kesho yake. Hatabeba tena na kufanya maamuzi ya kubeba jembe lake moja tu.

Mengine malizieni wenyewe kwa maana km ungekuwa Wewe sijui ungefanya nn ???? Ila women behave like that.
 
Chei chei shangazi shangazi
 
Mwingine husema kachoka kufua kwa mkono, ninunulie "Washer" Sawa unanunua Washer !!
baada ya siku kadhaa anasema kachoka kuosha viombo kwa mkono, ninunulie "Dish washer" unanunua dish washer!!
Lakini sindo maisha jamani ? Life goes on..... unaishiduniani mara moja kwanini umpatishe dhiki ya maisha?
 
Jamani dish washer lipogo lenye unatumbukiza vyombo linaosha lenyewe? Akyanani navyochukia kuosha vyombo embu nielekeze lapatikana wapi nchi hii na kwa bei gani? Waalaii ntavunja kibubuuuu
 
Mwisho atakwambia umnunulie dildo make nanihii yako kaichoka..
 
Jamani dish washer lipogo lenye unatumbukiza vyombo linaosha lenyewe? Akyanani navyochukia kuosha vyombo embu nielekeze lapatikana wapi nchi hii na kwa bei gani? Waalaii ntavunja kibubuuuu

Nikajua nipo alone
 
Jamani dish washer lipogo lenye unatumbukiza vyombo linaosha lenyewe? Akyanani navyochukia kuosha vyombo embu nielekeze lapatikana wapi nchi hii na kwa bei gani? Waalaii ntavunja kibubuuuu
Pole sana 100lovers !!
Dish washer yapo za aina :- moja linahitaaji umeme wa uhakika usio katika katika.. unapanga mavyombo yako machafu ndani ya sanduku hilo unafunga mlango, unabofya switch START !!...

Hongera kesho ukanunue .....
 
Kesho lazima nami ninunue.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom