wanawake wenyewe wanakiri hivyo


mbona povu lakutoka?!!
 

I know my wife is super hot...should i keep on knocking other hot chic.........to have only one girl (wife)inaweza kuwa pia nimepungukiwa wanawake. (Au haituhusu wenye ndoa)
 
Wanawake wazuri au warembo sana huamini badop wanachansi ya kuendelea kutesa milele kwa vile huona jinsi wanaume wanavyowasumbua barabarani. Hata hivyo wengi hutulia na kuwa tayari kwa ndoa na kutulia baada ya kutumia sana na kuelekea kuchakaa baada ya kufikisha umri wa 30+
 

Allanskillz likes this.
 
Ukiwa huna hela kila kitu unaona unaonewa.
Umeangaliwa kwa dharau
umejibiwa kwa dharau
mtu akichelewa appointment umedharauliwa
yaani taabu juu ya shida.

Ila kujiamini na kujikubali ndo mpango wote wa ndani na wa nje

Kweli kabisa 100%
 

ukweli mtupu!
Hii ndo hali halisi
 
Wanawake wazuri ss tupo hivi huwa tunapenda kuwa na mtu tunayempenda na sio mwanaume akupende
 

I guess yur the problem here kama unaona unaboeka na thread za #lara1 soma nyingine
yur interest is none of our damn concern fanya yako
utaipendaaaa kwa chuki au vise versa is true😉😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…