wanawake wenyewe wanakiri hivyo


huwa nakusomaga sana na vikelele vyako yani unajifanya wewe ndio mwanamke unaejua kwelikweli kuliko wenzako...shame on u. hujui lolote na utabaki ivo nimeamua kukuchana coz u destroy others through your shamefull comments, even a kid atagundua una matatizo makubwa wewe mwanamke, your brain is disorganize..I don't know I your medulla oblongatta is well or your already formated it....you suffred from manphobia disease....whatever a man can say is wrong to u.
 
Ndivo ilivo kwa wanawake hasa wale wazuri ambao vidume wengi wanaota kuwapata! Na kwakua wao wanajua ni bidhaa adimu basi hujua class Yao ipi!!

Kwanza! Hamna mwanamke mzuri universal bali kila mwanamme anazo marks zake kumthibitisha huyu kwangu ni mrembo!

Mbona Prince Charles alianza kucheat na Camilla muda mchache tu baada ya ndoa?Diana na Camilla nani mrembo?Je Ben Affleck hakuwahi kumtosa mliyekuwa mna amini kama ni hottest lady around the World?

Pili!Hamna msichana mgumu ila wasichana wana vigezo vyao kwa mwanamme!Unayemuita ww mgumu anaweza akajipeleka mwenyewe kwa watu8 akatoe uroda!
 
Last edited by a moderator:

BOY YOU SHOULD STOP WHINING!!!!!! A crying man is a disgusting view! So you think coz you whined here i should write what you want! You is funny!!!!!!!!! Hahahaaaaaaaaaaaaa!

What ever i write is non of your business! Its a free country isnt it? YOU CAN CRY ME THE OCEAN AND ILL WRITE WHAT I WANT!
 
Mwanamke mzuri ni yupi na wa kawaida ni yupi?
 
lara 1 ENDELEA kuandika bila kuogopa!Kimsingi nalaani sana tabia ya baadhi ya watu wanaodhani kuwa mawazo yao tu ndiyo bora!Dada lara 1 katumia haki yake ya msingi ya kuandika anacho amini pasipo kumtukana mtu!Binafsi huku mbali ughaibuni huwa nacheka hadi mke wangu anakuja kuangalia kwa nn huwa nacheka hivyo pekee yangu nikiingia jukwaa hili kwa hakika mnanitoa sana kwenye upweke na kujiona kama vile nipo TZ!

Madada wote msiogope kuandika ni haki yenu kufanya hivyo,andikeni na mlete utani ndiyo lengo la jukwa hili!Asiwepo wa kumtisha mwenzake kwa lolote lile!

samboy
badilika tafadhali!
 
samboy ulichokifanya hakikubaliki!

Let people write;dada huyu hajafanya lolote baya la kumfanya umsimange hivi!Maandiko yako yakiachwa yatakimbiza baadhi ya watu hapa jamvini na nina laani vikali lugha uliyotumia kuwasilisha ujumbe wako!

Ieleweke kuwa kila mtu ana haki ya kuandika pasipo kutukanana,hapa ni sehemu ya utani tu ingawaje kuna mahusiano thabiti yamepatikana kwa wapenzi kukutana hapa;na hata ninaposoma maandiko ya madada na makaka w huwa yanajikita kwenye mambo hayo!Kumshambulia mtu hapa ni zaidi ya kukosa weledi!

lara 1
andika bila kuogopa,wengineo pia andikieni!

Jamani DEMBA mkimuona mwambieni ani PM namba yake maana kuna kamzigo kake nataka nimpe huyu jamaa kwenye msafara wa Dr Slaa,anarudi Dar Jmosi hii!Please watu8 nisaidie kwa hilo
 
Nyuki hatui kila ua bwana......!!!!ukiona unasumbuliwa ujue utamu umekosekana.
 
sasa sii ndio maana nikasema they be banging b.itches

Kwahiyo wanaake wote ndo umeamua kuwaita bitches jamani

za masiku lakini, ulipotea sana, yani ulikua offline since i got back from Dom.

kwema?
 
ha ha haa haaaa haaaa Malafyale naona unatoa darasa kwa bwanamdogo (au sijui niseme bwanamkubwa ila kwa comment yake sidhani) huo mzigo wangu wewe kaa nao tu. nitaufuata mimi mwenyewe hukohuko. mbona wataka kunikatili kufanya utalii wa ndani weye
 
Last edited by a moderator:
kwani chizi sio mwanamke? (just kidding)
Haahah Ayanda ni mwanamke pia,wanaume wote wanacheat jaman,hata me nikisikia hubby anakabinti nje ntashawishika kukaona kanafananaje,akiwa wa ukweli na kanipiga gap la maana ntamsamehe haraka najua hajaniaibisha,sasa ndo unagundua anacheat na housegal mchafuuu au kichaa barabarani,we lazima roho ikuume,yeye dushelele lake halichagui pa kuingia
 
Kwahiyo wanaake wote ndo umeamua kuwaita bitches jamani

za masiku lakini, ulipotea sana, yani ulikua offline since i got back from Dom.

kwema?

mie mzima tuu...wewe ndio ulinibwaga
 
Huu ni udhaifu na kutokujiamini kwahali ya juu. Uko tayari kuporwa kisa umezidiwa viwango? Kwa nini alikuoa na asiende kwahao type ya waliokupiku?
 

ha ha ha hata housegal akiwa mchafu keshakupiga bao besti

wanawake mnajidai lakini ndo hivyo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…