Kuna msemo huu Never compete with animal you don't knw about, investigate first!! Ndivo ilivo kwa wanawake hasa wale wazuri ambao vidume wengi wanaota kuwapata! Na kwakua wao wanajua ni bidhaa adimu basi hujua class Yao ipi!! Jiamini na kuna vitu vidogo vidogo unatakiwa uvijue kabla! Baada ya hapo Ndio ule msemo "usiogope ukubwa wa samaki uliza bei" vinginevo utaishia kulalamika au kua na mtu ambae huridhiki nae!
na vipi kuhusu hao mahandsome boys wanaotumia silaha yao ya uhandsome kuwa na wasichana wengi!!
hivi wanawake wazuri ndo wepi hao? maana mbona wengi ambao wapo desperate ndo hao wazuri( per my eyes)
mimi nawajua wanawake ambao ni very kawaida hapa ofisini kwangu lakini ndo wanaogombaniwa na maboss wa juu.
Kila siku hoja ni wanawake "wazuri" wanaringa lakini mbona bado na wenyewe wanaumizwa na kuibiwa waume na wanawake wa kawaida?
beauty beauty beauty hata sielewi mnachobishania ni nini hasa?
well said...real men be banging b.itches left rut nd centre
Kuna mwanamke mzuri na kicheche mzuri kwa lugha nyingine capacity tester!! Hao Ndio mabosi wengi wanagombania Kama mpira wa kona! Mwanamke mzuri ninaemzungumzia mie ni smart hata kumfata tu lazima ujue inaanzaje
Kuna msemo huu Never compete with animal you don't knw about, investigate first!! Ndivo ilivo kwa wanawake hasa wale wazuri ambao vidume wengi wanaota kuwapata! Na kwakua wao wanajua ni bidhaa adimu basi hujua class Yao ipi!! Jiamini na kuna vitu vidogo vidogo unatakiwa uvijue kabla! Baada ya hapo Ndio ule msemo "usiogope ukubwa wa samaki uliza bei" vinginevo utaishia kulalamika au kua na mtu ambae huridhiki nae!
Ukiwa huna hela kila kitu unaona unaonewa.
Umeangaliwa kwa dharau
umejibiwa kwa dharau
mtu akichelewa appointment umedharauliwa
yaani taabu juu ya shida.
Ila kujiamini na kujikubali ndo mpango wote wa ndani na wa nje
hapo kwenye red sikubaliana na wewe.
eti wanawake wazuri ni bidhaa adimu, ah wapi mbona wamejaa kila kona tu
tena siku hizi watoto wanazaliwa wazuriiiiiiii hadi basi, hamnaga bidhaa adimu siku hizi
Husninyo nilikuwa napita ila umenifanya walau nivute kigoda. you are a million miles RIGHT. Huyu anaposema wanini yupo anaesema atampata lini
kweli dear, yaani wanawake wote tupo sawa kwa hawa viumbe, uwe mnene mwembamba mrefu mfupi mmweusi mweupe ujue kuna wako anavutiwa nawewe hivo ulivo. nashangaa tu hao wanajidanganya.
Ni kweli unayosemA mkuu. Mtu anarusha tu kombora bila kujali anarushaje. Naamini kati ya wachangiaji hapa baadhi ni wahanga wa hii mada. Yawezekana ni wazuri na wanahangaika. Mada imeeleweka ila naona ubishi mwingi tu. Wanawake wenyewe wanakiri hivyoRaia Fulani pole sana wewe ukigusia tu wanawake wazuri utashambuliwa mno mara wewe huna pesa,wazuri huwawezi hata kama una mke mzuri kuliko wao,hata kama una pesa wao wanafikiri mwenye pesa lazima azitumie kununua hawa wanawake wenye tamaa ya pesa, ila wamesikia hata wakikataa kazi kutoa mimba tu wengine ili waonekane bado mabinti, damu hizo zinawalilia kila jambo lina mwisho wake lazima mlipe maana hapa kila mtu yuko huru kuongea anachokiamini si lazima kulazimisha mtu uamini unacho amini, hakuna mtu wa kutishia wengine nyau.
Hahahahahaahah !!!!!umenifanya nicheke, tatizo jamaa anakwenda pale kwa mahesabu anajua akifika atakunywa bia ya kwanza mpk anafika ya pili wewe umeshafika na hapo anakuwa amepanga kunywa bia tatu na wewe utakunywa soda, au wine, sasa umechelewa inakuwa yeye keshakunywa bia alizopanga so pesa ya kuendelea kuwepo pale hana, na kukuomba hawezi anaona autamdharau, basi inakuwa tafrani, mpk unajuta kwenda, maana badala ya kukupokea kwa furaha anakupokea kwa lawama Loh!Ukiwa huna hela kila kitu unaona unaonewa.
Umeangaliwa kwa dharau
umejibiwa kwa dharau
mtu akichelewa appointment umedharauliwa
yaani taabu juu ya shida.
Ila kujiamini na kujikubali ndo mpango wote wa ndani na wa nje
hivi wanawake wazuri ndo wepi hao? maana mbona wengi ambao wapo desperate ndo hao wazuri( per my eyes)
mimi nawajua wanawake ambao ni very kawaida hapa ofisini kwangu lakini ndo wanaogombaniwa na maboss wa juu.
Kila siku hoja ni wanawake "wazuri" wanaringa lakini mbona bado na wenyewe wanaumizwa na kuibiwa waume na wanawake wa kawaida?
beauty beauty beauty hata sielewi mnachobishania ni nini hasa?
Umenena kweli kama mimi rangi zingine sitaki kuona ila rangi ya chungwa tu.