Wanawake wenye sura nzuri sio watamu

Wanawake wenye sura nzuri sio watamu

Hata nyama huwa zinatofautiana. Ukila nyama ya ng'ombe aliyekuwa na huzuni utajua tu inakuwa ngumu kiasi na ladha si nzuri. Ukila nyama ya mnyama aliyenona utajua tu maana inakuwa laini yenye mafuta mafuta na unagundua mnyama hakuwa na stresa. Mara nyingi tu utasikia nyama ya leo si nzuri.

Pia kuna wanyama walichinjwa kibudu, kuna wanyama walikufa kwa magonjwa. Nyama haziwezi fanana asikudanganye mtu. Tuulize sisi walaji.acha wale wanaokula nyama siku kuu mpaka siku kuu. Au wale wanaonunua nyama bucha za vingunguti,mwananyamala,tandale,buguruni kwa mnyaman n.k lazima waone nyama ni ile ile... Maana wananunua maeneo yale yale.

Mkuu GuDume kuanzia leo ule msemo wa wahenga kwamba Utamaliza bucha nyama ni ile ile ufutwe mkuu. Hauna Maana tena kuanzia leo hii General Mangi na wewe unashuhudia hapa.
 
Umetafuna sana wabaya mpaka umewazoea.mimi huwa nikimwona mtu sura yake ndo hivyo nakatika stimu kabisa.kama nlikuwa namfukuzia siku nikija mwona ndo atagundua nmechange.... Naanza mwona kama sasa.hapo ajue sura na umbo....aaah aahh.

Lazima uwe na standard.mimi sura kwangu ina husika sana.siyo unamla mtu sura yake kama anakamuliwa jipu...

Nishatafuna wengi idadi hata sikumbuki lkn sijui kwanini wanakuwa na kasoro mbalimbali.

sijajua ni expectation zangu zilikuwa juu kuwa pengine uzuri ungeendana na utamu, yaani papuchi hazina test kabisa.

sina picha kwa wale watakaotaka picha.

pambana na hali yako
 
Utamu upo akilini kwako Kakole . Ni sawa utegemee utamu wa wali uwe sawa na utamu wa pilau. Sema k nyingi nyeupe ni za baridi sana
 
Endelea kula wanawake wenye sura kama ukoko wa makande ambao mimi wananifanya nishindwe kudinda
 
Back
Top Bottom