Kuoa na ndevu kuna mahusiano gani,but wengine wanasema ukimpa msichana wa hivyo ni kwamba wana nyota ya bahati all in all ni rumours tu lkn hakuna tatizo lolote hata tofauti na msichana mwengune yeyote ni homoni tu
Mkuu shairing kwa wanandoa ni kawaida waweza mnunulia shaver yake still akaona yako nzuri,
Kuna mtu humu alisema anapenda kuvaa pichu ya mwenzie...teh teh teh
Mkuu shairing kwa wanandoa ni kawaida waweza mnunulia shaver yake still akaona yako nzuri,
Kuna mtu humu alisema anapenda kuvaa pichu ya mwenzie...teh teh teh