BatteryLow
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 446
- 149
Habari wana jf! Naomba kwenda straight, eti kwa nini wanawake wenye ndevu hawanyoi? Naomba ufafanuzi anayeelewa, kwani kuna mmoja aliniambia eti wakinyoa wanakufa.
habari wana jf! Naomba kwenda straight, eti kwa nini wanawake wenye ndevu hawanyoi? Naomba ufafanuzi anayeelewa, kwani kuna mmoja aliniambia eti wakinyoa wanakufa.
Inasemekana wakinyoa zinakuwa kwa kasi na wingi kama dume lkn wanatabia ya kutongoza sana wanaume hicho ndio sikielewi kabisa conection ipo wapi ndevu zao na ushapu wa kutongoza wanaume.
Nikwamba wakinyoa zinaota kwa kasi sana.
Ila nasikia watamu hao ni balaa.
Kuna yule mdada msemaji wa polisi ya bongo anaitwa nani sijui alvera au sensisio yani ana ile 'O' kabisa yani mpaka raha ila simpendi mimi yule simpendi kabisa sababu muongo sana yani huwa anakanusha kanusha mambo lakini badae anaumbuka
Mikorogo ndo inawaumbua
Habari wana jf! Naomba kwenda straight, eti kwa nini wanawake wenye ndevu hawanyoi? Naomba ufafanuzi anayeelewa, kwani kuna mmoja aliniambia eti wakinyoa wanakufa.
coz ni mabeberu
Wanatishia wanaume kuwa wao si gunia la mazoezi, nipige tuzipige.
Amino usiamin %90 ya wenye ndevu chanzo ni vipodozi visivyo na mpangilio