Wanawake wenye ndevu sio mchezo!

Wanawake wenye ndevu sio mchezo!

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,729
IMG_20180114_100725_223.jpg
IMG_20180114_100746_178.jpg
IMG_20180114_100809_368.jpg
IMG_20180114_100839_606.jpg
 
Namba 2 nilijua mjukuu wa malkia!..Lakini nikafikiria nguvu ambayo ingetumika kumrudisha kawaida!..
 
Tukiwa tunaendelea na tukio

Mimi: Mwa...mmwwaa....jjj..juummm..aa nakojoaaaaaaaaaaaa

Yeye: Mwajuma ni nani?

Mimi: (Huku nahema) Ni..n..ni. wewe sweetie.

Yeye: Stupid, nimekwambia naitwa Juma.

Mimi: Eeehh!!!? Mbona nimekuita Mwajuma wiki mbili mfululizo ukawa unaitika.

Yeye: (Huku ananyanyua mabega juu kumaanisha 'Sijui') basi tu Niliamua ku go along with it.

Mimi: Ila si una qummer si ndiyo? I mean ndevu si za ukoo?

Yeye: Ndiyo.

Mimi: Juma jiandae kwa raundi ya pili.
 
LA msingi uhakikishe ananyoa ndevu zote na kukwangua, unaweza ukasahau wakati unamshika kidevu unakutana Nazo, hujaliga kelele usiku.
 
Alafu hawa unaweza kuta ni watamu balaa
 
Hormone imbalanced ndo tatizo kubwa kama huyo picha ya kwanza ni mzaliwa wa UK ila mwenye asili ya nchi za Asia
 
Wanaume wanapata wapi ujasiri wa kuwatongoza hao?
 
Back
Top Bottom