Wanawake wenye ndevu changamoto kwenye mahusiano

Wanawake wengi wenye ndevu wana ndani yao wengi wao viburi, jeuri na dharau. Hawa viumbe hawana unyenyekevi, utii wala heshima, jihadhari ukipata demu wa aina hii hawe fundi vipi umakini
Testosterone ziko juu ndo inawapa haiba ya kiume wanakuwa na tabia kama zenu.
Vumilia tu maana na yeye anakuvumilia 😂 .
 
Et " ukipata demu kama huyu""
Huyo sio demu tena hv unajua kigezo cha kuita mtu demu mkuu..

Yaani seriously ana ndevu unamuita demu..
Huyo ni SHANGINGI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…