Wanawake wenye misambwanda hawanivutii kabisa

Wanawake wenye misambwanda hawanivutii kabisa

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,632
Sijui kwanini me sipendi warembo wanene,yani akipita kimbaumbau utaona mijicho inavyonitoka.

f6c63f5a5a10e3133a03e75691b9f42b--healthy-women-beautiful-black-women.jpg

Sijui ile wanaita misambwanda na mimi vitu viwili tofauti,siwezi kupoteza mda wangu kugeuka nyuma kuusindika Kwa macho msambwanda.

Sasà kakipita kadogo Dogo hivi basi kamoyo kanaanza kwenda mbio mbio bhana

Ila kama unajijua upo kama hawa hata usinishobokee maana wee sio wa type yangu
maso.jpg

h
AgnesMasogange1.jpg


Deadbody
 
Wamekusikia mkuu hawatakushokea tena!
 
aisee huyo modo anaoenakana kupata shida hata kusimama tu "due to lack of msambwanda as a support structure"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom