Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Mada yako ya kwanza umeanza na wanawake sijui zinazofata itakuaje, ngoja tuone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwingine ukikaa kimya anasema umemdharauwe hujajua tu !siri ya mtu yyt mwenye mdomo wewe jitahd usiwe na mdomo !unamvunja nguvu za kubwata bwata kila mara !akianza kubwata we kalalle !lazima akae kimya!
Mwingine ukikaa kimya anasema umemdharau
Sipingani nawe, ila lazima aseme hivyo.ni bora usemekane una dharau kuliko kutoa mapovu
Sipingani nawe, ila lazima aseme hivyo.
Wanakula kwa kutumia nini?Wapo hata mme aondoke arudi baada ya mwezi hana cha kuuliza yupo radhi akakope lakini asimuulize huyu bora mme na maisha yanasonga
Sent using Jamii Forums mobile app
Atie mimba tu hapo.hahahaha yaan nikikuonaga huwa najua nitacheka !yaan we mdada una manenooo hhehee !ni kweli usemayo kila mtu anajua jinsi ya kuzuia hisia zake na mihemko
Hahaha kawa zaidi ya kasukuNinae demu kama huyo, nikajua dawa yake nimpe mimba, Doo, ndio kama nimezidisha
Sent using Jamii Forums mobile app