nimecheka sana... yani nyie mpo faragha, then anatukanwa Evelyn SaltSasa ukutane na wa kizalamo anatukana... Utachoka. Kuna wale wanaotukanaga vitandani... We acha.. Ukimwambia tu nitukanie Evelyn Salt... Atapewa kichambo bila yeye kujijua
ndo ivo, kwani hata wezi wanapopanga kuiba, anayeibiwa huwa anakuwepo kwenye mipango hiyo..??nimecheka sana... yani nyie mpo faragha, then anatukanwa Evelyn Salt
hebu jaribu siku moja kumtaja Ngalikihinja wakati unapewa manjonjo na shemeji uone litakalotokeahahaha, yaani upewe manjonjo hukoo afu mnitaje? hata kama mnanitukana mjue mnaniongezea maujiko
aisee, inaonekana unapenda sana matusiHivi unadhani wanawake huwa wanataja vya kwao...?? Raha ya matusi umtukane mwenzio, si ujitukane mwenyewe.... Kwani ushawahi kumsikia mtu akitukana... tiGo YANGU..??? Au gegedo langu...???
Wanawanake wanawake wanawake..... Yaani kila kitu wanachofanya kibaya, utawasikia wameambukizwa na wanaume zao, na kila mwanaume anapofanikiwa, utawasiki there is a women behind hayo mafanikio... Duhhh
Akinitaarifu mapema powa tu... ila sapraizi sitaki, atimuliwe huku aaafffuuuu mi sina taarifa ghafra huyu mlangoni... hapana. AKIJIJUWA KUWA LEO ATANITAJA, ANIAMBIE MAPEMAAhebu jaribu siku moja kumtaja Ngalikihinja wakati unapewa manjonjo na shemeji uone litakalotokea
Sanaaaaa.... hasa kuyafanya ndo zaidiaisee, inaonekana unapenda sana matusi
Sa si umtaje...hah ha ha ha kuna mdau mmoja humu humu, akifurahishwa na mada anarushaga mjitusi mzitooooo!!
mie mtu akiwa anatukana tukana sana huwa nashindwa kujenga ukaribu nae
Hivi mwanamke/msichana anakuwa ana matusi ya kutaja viungo vya uzazi ni tabia gani.
Unakuta mwanamke mzuri mrembo ila akikasirika anamwaga matusi hayaendani na yeye.
Au hata anamtukana mpenzi wake matusi kama wabeba zege wakiwa kazini.
Unakuta ana akili timamu hajalewa ila kidogo tu tusi kwani ni fasheni kutukana?
Wabadilike ndio maana mnabwagwa deile mkiwa na imani mmeibiwa nyota sijui nini?