Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,294
Weee, wa ushuani nao balaa... Tena utawakuta wanatukana kwa kiinglishi... Maza faka ndo zao sana... Hivi ya ile faki yuu ya kule bungeni ingetakwa kwa kiswahili ingekuwaje...???
she is a very smart young lady na sio kwamba anamtukana tu kila mtu hapana, ila ukishamzoea ndo utazisikia sasa lugha zake za matusi, kama hamjazoeana wala tena yuko charming utampenda utasema mwanamke ndo huu mzoee sasa UTAJUUUUTA, me mwenywe sometimes i wish we weren't friends
Hivi unadhani wanawake huwa wanataja vya kwao...?? Raha ya matusi umtukane mwenzio, si ujitukane mwenyewe.... Kwani ushawahi kumsikia mtu akitukana... tiGo YANGU..??? Au gegedo langu...???na wanaume wanaoporomosha matusi kwa kutaja viungo vya uzazi vya kike? kwanini wasitaje vya kwao?
wambie hao
ile kitu ni balaa:A S 13::A S 13::A S 13:
Please usiwe unantukana. Na mimi sitatukana. Truce?
Bila booster huendi wewe!!!!!
Hahahaaaaa. Maneeenah
Meanza eeeeenh!!!!!!
Ni boost nifurahi.
umeona eeeeh my sis maana ukitembea na mwizi na wewe utaonekana mwizi
Boostard!!!!!!!
Hivi mwanamke/msichana anakuwa ana matusi ya kutaja viungo vya uzazi ni tabia gani.
Unakuta mwanamke mzuri mrembo ila akikasirika anamwaga matusi hayaendani na yeye.
Au hata anamtukana mpenzi wake matusi kama wabeba zege wakiwa kazini.
Unakuta ana akili timamu hajalewa ila kidogo tu tusi kwani ni fasheni kutukana?
Wabadilike ndio maana mnabwagwa deile mkiwa na imani mmeibiwa nyota sijui nini?
Acha stigma wewe kuna tusi la kiswahili lisilo na maana kwa hao wasio waswahili????!!
Tuorodheshe hapa??????!!!!!!
1. WTF,LMFAO hayo huku uswahilini utayasikia wapi???!!!!
Hata nyie wa kishua mnatukana ila sababu ndio hivyo tena popular culture mnaona poa tu tena mnasikiliza nyimbo za kishua maneno machafu mbele ya wazee wenu! !!!!!!!!!
Uswazi for life!!!!!!!!!
Weee, wa ushuani nao balaa... Tena utawakuta wanatukana kwa kiinglishi... Maza faka ndo zao sana... Hivi ya ile faki yuu ya kule bungeni ingetakwa kwa kiswahili ingekuwaje...???